We mwenyewe unachepuka alafu unategemea nin?
Tulizana!
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani

Wapi kikosi cha mizinga!!!!!
ulale salama kabisa mtoto mzuri! nina zawadi yako nzuuuri ntakukabidhi kukipambazuka!
Thawadi bado tu????? au uko kwenu bado usiku.
nimeamka mamii, niambie kwanza uko kwenye mood gani kabla sijatema sumu! lolz!
Hata sijielewi,,,,, hapa baridi kali leo siku ya 3 mvua tu mchana na usiku.
mwanamke yupi wa kutulizana naye siku hizi?We mwenyewe unachepuka alafu unategemea nin?
Tulizana!