Mapenzi yalivonitia umasikini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi yalivonitia umasikini.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ankol, Aug 22, 2012.

 1. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Habari zenu wana Jf.
  Leo nimeona ni share na nyie mambo mabaya yaliyonitokea maishani mwangu.
  Miaka mitatu iliyopita niligraduate elimu yangu ya chuo na baada ya kukaa miez kadhaa nyumbani hatimaye nikabahatisha ka ajira ofc fulani hivi. Uongo mbaya nikaanza maisha na nikaona ni bora nihame nyumbani ili nikaanze maisha yangu mwenyewe.
  Nikaulizia wafanya kazi wenzangu wanitaftie shemu ya kupaga nearby ofc c unajua tena kero ya usafiri na jiji letu? Hatimaye nikapata kijichumba na kisebule karibu na wanapoishi wafanya kazi wenzangu. Maisha yakaenda kajimshahara kangu liweza kuka control vizuri na niliweza kusave kiasi flani huku nikiwa na dreams lukuki kichwani kwangu.
  Baada ya mwaka mmoja kuisha ofc iliajiri wafanya kazi wadada watatu ambao mmoja wapo alinivutia kwa kweli. Kama kawaida nikaanza kuimbisha baada ya kataakataa kama miez kadhaa then akanikubalia na akanimba iwe siri kwani teyari alishatongozwa na wafanya kazi wengine pale pale ofcn. Basi mahusiano yakaanza akawa anakuja nyumbani kwangu mara kwa mara, bahati mbaya akawa anaonekana na wale wenzangu tulokua tunaishi nao nearby. Hakuna tena siri. akaniomba tuhame pale nilipokua nikiishi kwani hakua akijisikia amani kila ajapo.
  Tukatafuta nyumba ingine safari hii very expensive vyumba viwli na sebule nilipohoji singo boy kumiliki vyote liambiwa wageni wakija je? Baada ya kuhamia tu, Demu nayeye akahamia. Tukawa tukiishi kama mke na mume. nikampa woning please usishike mimba kwani sijafikia hata nusu ya ndoto zangu, tukaenda mpaka ushauri nasaha wakatuelekeza jinc ya kujikinga nayo.
  Hagharama zikazidi, Outing, shopping, rent kubwaa n.k vikafanya kalekale ka salary nilikokua mpaka na save kakawa hakatoshi tena, mishahara haigongani tena.
  Baada ya miez kadhaa mwenzangu akapata pregna! hapana so sorry tuka abort, nikamuonya tena na tena asishike pls lakini onyo langu halikusaidia. ni baada ya miez miwili tu akashika mimba ingine nikajua kakusudia nkamwambia ajiandae kulea tu.
  Kichwa kinachemka, inabidi nitafute kazi ingine yenye kipato maradufu ili niweze kukabiliana na majukumu haya yanayokuja mbeleni. ndipo nilipoangukia mikononi mwa matapeli wa kazi, Wakanitapeli milion moja yangu wakiniahidi watanipatia kazi nje ya jiji. baade wakanambia nisafiri ili nikaanze kazi uko mkoa, nami kwa kua niliwaamini sana isitoshe ni ndugu yangu nika resign kazi nilonayo na kusafiri hadi mkoa.
  Kufika huko subiri subiri zikawa nyingi hatimaye nkagundua kua nshatapeliwa na kule nlishaacha. Mpaka leo hii sijapata tena kaz na yule mdada ndo ashajifungua, nimerudi nyumbani yani ni balaa juu ya balaa sijui nifanyaje wadau!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Pole sana...................
   
 3. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Vumilia tum tgafta kazi kwa juhudi, omba mungu akusamehe kwa dhambi ya ku abort, lakini tambua hili, mistake we do zinatufundisha kitu kipya zaidi sana kukabiri maisha ya mbele.

  Lakini hujasema kama dada huyo aliacha naye kazi ama vipi?
   
 4. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Asante Mdau
   
 5. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Yuko Martenity Leave, Hajaacha.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.

  Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.

  Upepo 1:
  mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.

  upepo 2.
  Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.

  Upepo 3.
  Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.

  Upepo 4.
  Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.

  Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,361
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Pole! ni wazi unatakiwa kukabili hali ngumu uliyonayo,pia ni funzo kwetu kuwa kazi inaweza kwisha kwa namna nyingi
   
 8. N

  Neylu JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapo maji yameshamwagika hayawezi kuzoleka hata iweje, cha msingi acha kumlaumu mtu yeyote na ukabiliane na hiyo hali iliyopo.. Na kwa kutumia mshahara wa huyo mpenzi wako mjibane bane wakati ukiwa unatafuta kazi taratibu...! Mungu ni mwema atakusaidia utapata..
   
 9. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Sawa kabisa..hujaacha kitu!
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,018
  Trophy Points: 280
  Imani,upendo wa watu hupoa,ulimwamini mkeo kuwa hata beba mimba akabeba,ukatoa milioni kupewa kazi dah pole sana aise.
  Mapenzi hayajakufanya masikini ni wewe ndo umejitakia umasikini kwa sababu ya tamaa.
  Je huyo mkeo anaishi wapi sasa au kwenu?
  Huyo mdada alikuwa hapokei mshahara?
   
 11. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kongosho hapo umenena :). wanaume wengine hawana control kabisa akiambiwa kitu na mwanamke, hii niliona hata nlipokuwa chuo. kijana yuko radhi kushindia mlo 1 as long as ana demu mrembo pembeni LOL.
   
 12. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Sawa Kaka Kongosho.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  pole, lakini ndio ukweli nilioona.

  Jifunze kufanya maamuzi yako mwenyewe hasa unapokuwa na familia.

  Ishi maisha unayoweza kuyamudu bila kukosa usingizi, utakuwa na amani zaidi.

  Kazi utapata tu, ila hili liwe somo lisipite hivi hivi.

   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Mbona unatukata stimu Dogo, kaka yuko wapi hapo? huyo ni Dada yako na mimi ndio nataka kujipendekeza hapo nitangaze nia maana huu upweke sasa basi.
   
 15. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,027
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wewe usisingizie mapenzi Elimu yako ulioipata ndio ya kuilaumu iweje ishindwe kukusaidia pale kuacha kazi kabla hujaiona?:flypig:
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Angalia na wewe usije ukala savings.
   
 17. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Ndio mana akabase upande wa jinsia yake, Nshakusoma Matola. Eti tumeenda mpaka Ushauri wa uzaz wa mpango,akaelekezwa jinc ya kujikinga lakini mwenzangu akabeba mimba, sio kutegesheana huku?
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Tuna Wahitimu tu siku hizi, Wasomi ni sisi enzi ya upe. Form 4 Graduate unafanya Debate na Profesa, hawa wa sasa hivi ndio wale Majaji ambao hawana hata shahada.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  atakula NSSF yake???

  Ujue huyu kajiajiri.

   
 20. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Kumbuka ni ndugu yangu alonitapeli nilimwamini asilimia 100, afu mkataba wa kaz unaniambia nitoe notice ya mwez mmoja kabla ya kuacha.
   
Loading...