Wadada: Wapi nitapata kidani with specific letter(H) for my love kwa hapa dar?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Heshima kwenu wana MMU!
Nahitaji kumnunulia mpenzi wangu(ke) kidani chenye Herufi(H) au chenye umbo la H
Sasa nimezungukazunguka kwenye maduka machache hapa dar(kama matatu hapa kinondoni) na sijapata ambacho ambavyo vina herufi!
Najua kuna wadau humu wanaweza kunielekeza nitavipata wapi kwa hapa dar!
Mahali popote kwa Dar nitakapoelekezwa nitafika!
Sihitaji cheni ila nahitaji kidani tu chenyewe!

My budget is limited kwenye 5,000/= hadi 15,000/=

kwa anayefahamu duka nitakalopata naomba anielekeze!
 
ndugu Tangopori wengi hapa wamezoea vya gharama zaidi ya hiyo pesa , na ndio maana wanakushangaa!
 
Last edited by a moderator:
Free-shipping-long-style-letter-H-type-long-necklace-sweater-chain-all-match-lady-jewelry-accessory.jpg_350x350.jpg
letter-h-charm-necklace-gold.jpg

hpal14.jpg
Solid-Silver-CZ-Initial-Letter-Pendant-H-325b.jpg
 
Heshima kwenu wana MMU!
Nahitaji kumnunulia mpenzi wangu(ke) kidani chenye Herufi(H) au chenye umbo la H
Sasa nimezungukazunguka kwenye maduka machache hapa dar(kama matatu hapa kinondoni) na sijapata ambacho ambavyo vina herufi!
Najua kuna wadau humu wanaweza kunielekeza nitavipata wapi kwa hapa dar!
Mahali popote kwa Dar nitakapoelekezwa nitafika!
Sihitaji cheni ila nahitaji kidani tu chenyewe!

My budget is limited kwenye 5,000/= hadi 15,000/=

kwa anayefahamu duka nitakalopata naomba anielekeze!
weka picha
 
kwenye maduka ya urembo na kwa masonara..hautavikosa
 
Nenda kwenye maduka ya sonara ...bei hutegemeana uzito wa gram ..ila ujue anapenda gold or silver ingekuwa pouwa ukachukua na cheni yake
 
ukubwa kama ya picha ya Tyta hapo juu inagharim kiasi gani(silver)?
Nawasilsha mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wana MMU!
Nahitaji kumnunulia mpenzi wangu(ke) kidani chenye Herufi(H) au chenye umbo la H
Sasa nimezungukazunguka kwenye maduka machache hapa dar(kama matatu hapa kinondoni) na sijapata ambacho ambavyo vina herufi!
Najua kuna wadau humu wanaweza kunielekeza nitavipata wapi kwa hapa dar!
Mahali popote kwa Dar nitakapoelekezwa nitafika!
Sihitaji cheni ila nahitaji kidani tu chenyewe!

My budget is limited kwenye 5,000/= hadi 15,000/=

kwa anayefahamu duka nitakalopata naomba anielekeze!

Hiyo budget yako ipo katika USD ama ipo kwa Tsh? Tuanzie hapo kwanza hahahahaha
 
🙁
Watanzania wa kawaida kweli tunalo!
Mh! Naomba nisijibu kwanza ngoja nikatafute cha jioni kwa mama ntilie!
 
Ongeza pesa kama unataka kiru kizuri.........
Cheap is always expesive.

hivyo hata kwa buku unapata kwa wale wanaomwaga
vitu mwenge kule au Ubungo
 
Hiyo budget yako ipo katika USD ama ipo kwa Tsh? Tuanzie hapo kwanza hahahahaha

Tangopori aongeze pesa cos 1 gram ya kicheni kkoo ukilalamika utapata kwa 15000 bila kidani....sasa yeye anataka kidani tuu na hasemi uzito awake 50000 achukue kitu cha maana ...anakimbilia kwa mama ntilie baada ya kuulizwa hiyo pesa ya USD or madafu...

Tumia pesa kwa umpendae acha woga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom