juzi nilikuwa bize kidogo mbali na home ikanilazimu kupitisha mchana yote bila kula..nilirudi home kama saa 12:30 jioni, kwakuwa wife anajua sikula mchana akaniandalia uji kidogo ili nistue, then akanipa mtori na maziwa na nikashushia na matunda halafu nikanywa maji... basi kwa haraka nikajihisi nimeshiba mno nikamuambia wife asiniwekee tena msosi kumbuka hiyo ilikuwa kama sa 18:50. basi kweli nikaenda kufanya mishe zingine hadi saa 21:15 nikawa kitandani, wife alijumuika nami kama saa 4 ivi..kwa mbali nilihisi njaa, lakini nikasema nitatumia uzoefu..basi kama unavyojua mwanaume ukiona mwanamke kavaa mavazi hatarishi kule uganda... basi nikajikuta naanza mishe... mara nikiwa katikati ya game nikajikuta nguvu zinaniishia na jasho linatoka, nikajikaza coz mwenzangu alikuwa bado..kweli nilifika ila sikuweza kujitoa NILIZIMIA!! kama dk 3 ivi huku nikipumua kwa nguvu, kwa bahati wife alibakisha msosi akauleta fasta na chai nikanywa...baadae mechi ikarudiwa..wee hadi wife akasema "ningejua nisingekuletea msosi!"