kwa nini unataka walimu au manesi? kwani mke mwema lazima awe mwalimu au nesi tu?...."mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"
Awe NEC ya ccm au ya cdm? Au unamaanisha awe ameajiriwa na tume ya taifa ya uchaguzi?
Kwa yeyote ambae yuko serious plz call me 0759403221,tutaonana na kuongea tukipendana poa tukishindana its ok kwani mapenzi ni makubaliano.