Habari za week end wana jf, wanaume wengi wanalalamika hawaja wahi kutoa bikra, nimekuwa na bahati kupata marafiki zangu wa ke wenye bikra zao toka tupo chuo, ila wanamisimamo yao hadi ndoa ndipo...
Wana JF,hongereni kwa michakato ya hapa na pale.
Kutokana na hali halisi ya maisha,changamoto za ndoa,uwiano wa idadi uliopo kati ya wanaume na wanawake, imenibid nibadili namna ya kupata mke...
Maaamboooo! uko waaapi?
Ilisikika sauti ya nurse kila nlipopokea simu yake,...
Nilikua likizo na pia ni wakati wa kufanya Practical Training (PT). Kama ilivyo kawaida kwa wanafunzi wengi wa...
Ndugu zangu naombeni mnisaidie njia nzuuri ya kumsahau mpenzi wa zamani mawazo yananitesa nikimuona tu narudi kwenye hali ya mawazo nikijitahidi kumsahau nakwama naishia kupungua kilo nowadays...
hi jf members!
Mimi ni kijana wa miaka 32,
Mwajiriwa mwenye shahada ya pili ya uchumi,
Mstaarabu,mtanashati,sinywi,sivuti,mrefu kiasi,najua nini maana ya kumpenda,kumtunza ,na kumjali...
Habari za hapa wanajamvi, naomba kuwashirikisha hili na kuwapa warning hasa wadada wanaopenda kuolewa na wanaume wa kizungu. kuna baadhi ya mitandao watu huweka picha halisi ukiachilia facebook...
Is it true or is it just a myth that slim, pretty ladies are good in bed, and they really take too long to get satisfied by a man, compared to plump women who take shorter time.
ladies and gentlemen!!!
Binafsi nimefurahishwa na ustaarabu ambao umeanza kujitokeza katika nchi ya KENYA!
Iko hivi, endapo utatoka na binti (civilised ones) out, then mkaenjoy kwa kila aina za...
Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi.
Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na...
Habari wana JF,
Katika mapenzi hakuna mtaalam wa kutongoza hata kidogo wala wanaume tusijisifu kwamba tunajua kutongoza/ kuwadanganya wadada.Mimi naamini kabisa kama mdada anakufeel rohoni mwake...
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja kwa kumlawiti mtoto wa miaka 2.
HIVI HAYA MATUKIO YA UKATILI YANASABABISHWA NA NINI?
MBONA TUNAWAONEA WATOTO HIVI...
Police wetu wamenifurahisha sana
Mamammoja kamfuma mumewe na kimada wanakwenda mwanza na fastjet
alichonifurahisha akadili na mumewe na kumwacha kimada akiendelea lounge kusubiri ndege
Gafla...
Kuna jamaa angu amekuja na kulalamika kwangu nimshauri nkaona nivyema nililete hapa kwa wataalam wa hizi mambo.
Jamaa ana dem wake na wako kwa mahusiano takribani miaka 8, jamaa kashalipa mahari...
Mwanamke wa miaka 20 amekunywa sumu mpaka kufa baada ya kufumaniwa na mumewe akifanya mapenzi na mjomba wa mume huyo jumapili iliyopita. Msemaji wa jeshi la polisi wa Mashonaland inspekta...
Samahani wakuu nimekosea heading ni diva na sio dida
Habar wakuu, na shida ya mawasiliano na huyu dada kwa mambo ya kibiashara.
Naomba kama kuna anaweza nipatia mawasiliano nae kwani cjui kama ana...
msaada wana jf mim ni kijana mweny umri wa miaka 23 nina girlfriend wangu naye anamiaka 23 ila amenipita miezi minne sasa ananiambia ananipenda ila tofauti ya umri kati yetu inampa shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.