Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi.

Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na pale, mizinga kwa sana, story n.k.

Jamaa yangu mwingine kazini alikutana na demu kwenye daladala jumamosi halafu jana kaniambia katoka kula mzigo wa dada huyo jana, jumatanao; yaani siku nne tu. Kwa nini tofauti hivi? Mwanaume, mwanamke tutafute wastani sasa.

Ilikuchukua muda gani tangu kufahamiana na mtu wako hadi kufanya nae tendo (mapenzi/sex) la kwanza? Maana wengine wanasema siku hizi mjini tunamalizana leo leo tu.
 
Saa kumi na dakika 53 tumefahamiana, saa moja na dakika 7 tukakulana mzigo....
 
March 2012 mpaka Febr 2013 tukapeana (kila wiki) then April 2013 tukatemana mazima ...hadi leo no call no whatever
 
Kuna mtoto wa kike ananifukuzia hadi leo sijampa hata deepkiss ingawa anataka.
Ni mwezi wa 5 sasa.

Inategemea Ntu na Ntu
 
Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi.

Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na pale, mizinga kwa sana, story n.k.

Jamaa yangu mwingine kazini alikutana na demu kwenye daladala jumamosi halafu jana kaniambia katoka kula mzigo wa dada huyo jana, jumatanao; yaani siku nne tu. Kwa nini tofauti hivi? Mwanaume, mwanamke tutafute wastani sasa.

Ilikuchukua muda gani tangu kufahamiana na mtu wako hadi kufanya nae tendo (mapenzi/sex) la kwanza? Maana wengine wanasema siku hizi mjini tunamalizana leo leo tu.
Mimi hata sikumtongoza..! Nilijikuta nimeshagegeda na ilikuwa ni kwenye maongezi ya kawaida tu....kuua soo nikaanza kumtongoza baada ya kugegeda.....Mapenzi siku hizi ni kitu cha kawaida sana you know!
 
hapana muda maalumu, but me nikumbukavyo muda mrefu nilikuwa nachukua kwa wasichana niliowatoa bikra. Miezi miwili, miaka miwili, huyu wa kuonana naye leo unamaliza leo, inaonesha kwanza kati yao hamna anayethamini mwili wake. Huwezi kuonana na mimi leo and then nianze relationship, hapana mwili ni hekalu la Mungu hupaswi kufanya vile utakavyo, smtimes tunahitaji kutofuata tamaa za mwili....eboo! tamaa mbele...
 
Jana tulionana tukafahamiana usiku nikambembeleza kwenye cm asubuh akatimba gheto nikala mzgo vya kutosha
 
Sio sahihi kufanya generalisation kuhusu wanawake hata kidogo. Wengine siku hiyo hiyo unakula mzigo, wengine wiki, wengine mwezi, wengine miezi, wengine hata mwaka. Huo ni uchunguzi wangu binafsi, wengine nimewatafuta on the spot wengine after a week na wengine baada ya mwezi au miezi. wengine hawaingiliki unaweza spend hata miezi sita mnazungushana tuu
 
Asuhi jioni nikala mzigo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom