Huyu mrembo wa JF ananipeleka mpute mpute,aaah jumapili hii niliahidiana naye tukutane pakujirusha kuanzia mida ya saa mbili usiku,tumekunywa weeee mpaka saa nne,haya maeneo mdo yananoga maana...
Majanga!
A boy was furious when he discovered that his mother was having an affair with another man.
The boy of Zimbabwe, allegedly found nude photos of his mother with another man on her cell...
juu na mimi leo nimeamua kuingia kwa jukwaa la wenye kudiscuss nyuchi zenyu. mimi ni mkenya niko naishi dar ninatafuta dame mtanzania mwenye yuko na---- ndogo, kama vile uko serious ninamba unipm.
Umeianza safari, kwa nyingi mbwembwe bashasha
Na mkeo mwasafiri, Kimanjaro kupandisha
Utambue ni hatari, tamaa kumkatisha
Mwapanda Kilimanjaro, vyema mfike pamoja
Mnapopanda mlima, sikiliza...
Kwa dunia ya sasa usipokumbuka Siku ya kuzaliwa mpenzi wako Siku hiyo utajuta! Unakuta mtu ananuna kabisa usipokuwa wa kwanza kum-wish happy birthday ni shidaaa, sometimes unakuta ujumbe mrefu wa...
Naomba msamaha mbele za Mungu kwa dhambi niliyofanya, natamani nipigwe mawe mpaka nife, ila kwakua watu wanaotakiwa kunipiga mawe pengine sio wasafi, naomba mnichagulie adhabu tofauti mtayoona...
Hivi vitu vyote hivi vinaenda pamoja yaani mwanamke yeyote hawezi kutolewa bikira bila kutoa damu wakati wa tendo la ndoa au ni propaganda tu. Mwenye ufahamu na uzoefu msaada.
Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu...
Kuna hii tabia inafanywa na wanaume wengi wakifika nyumban usema hawajisikii kula wengine kudiriki kusema tumbo haliko sawa na mke wake kuanza kumuhurumia.
Siri ni hii wengi wanakuwa washakula...
Una mpz wako mmeanza vzr mwanzoni lkn baada ya mda mawasiliano yamekata no missed calls wala msg na yuko online whatsaap mda wote utajisikiaje, aya wale wenye wapenzi shuka nayo iyo
According to Robert Wright, these reasons why some women cheat;
1. Resource extraction- getting things from multiple partners increases resource security.
2. Dilemma of off springs- Mating...
Mu hali gani jamani???
Mimi nina tatizo moja,
yani nikianza game na
demu wangu, yani goal la kwanza
halichukui hata dk 5, nikiingia raundi ya pili na ya tatu story inakuwa ni hivyohivyo, je...
Wana MMU,
Katika miaka yote ya balaa niliyowahi kupitia naona huu umechukua tuzo.
Nilijitutumua mwenyewe kumuingiza huyu bi dada ndani kwa kujiaminisha amekidhi vigezo ikiwemo umbo...
1. Alikulea tumboni miezi 9.
2. Alipata tabu na uchungu wakati anajifungua.
3. Hakulala usiku wakati unamsumbua kulia usiku. Kunyonya usiku wote.
4. Ulimkojolea, na ukamnyea muda wote yeye...
Poleni na majukumu ya siku nzima.
Mwaka mmoja sasa umepita tangu nimeachana na mupenzi wangu sasa (yaani tarehe ya leo kabisa). Huyu mupenzi nilimfahamu kwa kama miezi 4 kabla ya mie na yeye...
wadau nahitaji kuoa sasa. Umri
umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji
kuanzisha familia. Nina 28 yrs naomba
mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio
wale wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.