Nitapataje mawasiliano na DIDA wa Clauds tafadhali

Nitapataje mawasiliano na DIDA wa Clauds tafadhali

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Samahani wakuu nimekosea heading ni diva na sio dida
Habar wakuu, na shida ya mawasiliano na huyu dada kwa mambo ya kibiashara.
Naomba kama kuna anaweza nipatia mawasiliano nae kwani cjui kama ana page yeyote kwenye mitandao ya kijamii na anatumia jina gani.

Thank you in advance .
 
Ndo anatangaza kipindi gani pale wafu fm?

Mcheki nyani ngabu anaweza kukupga tafu.
 
Dida hayupo clouse ila nenda instagram anatumia didashaibu utamfollow au mume wake ezdee atakusaidia
 
Mie sijawahi kumsikia mtangazaji anayeitwa dida hapo mawingu fm
 
samahani mkuu ni kweli ni DIVA na sio DIDA nilichanganya madesa...
 
ni kweli nimechanganya sio DIDA ni DIVA....
 
Tafuta nyimbo inayoitwa my city my town - imeimbwa na msanii toka nairobi

Ukiipata umemaliza tatizo lako
 
Back
Top Bottom