candymarry
Member
- Aug 4, 2012
- 32
- 8
Habari za hapa wanajamvi, naomba kuwashirikisha hili na kuwapa warning hasa wadada wanaopenda kuolewa na wanaume wa kizungu. kuna baadhi ya mitandao watu huweka picha halisi ukiachilia facebook. unakuta mwanaume ana like profile yako na anakutumia email yake kwa mawasiliano zaidi, picha zile ni fae na wanazitumia kutuhadaa mwisho wa siku mnachat anatafuta sababu yeyote ile ya kukufanya umuamini at the end of the day unamuamini kumbe ni jamaa tu lipo hapo nchi za jirabi kama kenya au Uganda. wanatumia sana njia ya kuatangaza ndoa lakini kinachofuata ni kukutapeli pesa either kwa kukudanganya kuwa kuna mzigo kakutumia ulipie pesa kidogo za kuupokelea nawe kwakuwa umemwamini basi ukituma tu, umeliwa.
Be careful please.
Be careful please.