msichana wangu ana umri mkubwa nifanyeje

zawadi91

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
14
Reaction score
5
msaada wana jf mim ni kijana mweny umri wa miaka 23 nina girlfriend wangu naye anamiaka 23 ila amenipita miezi minne sasa ananiambia ananipenda ila tofauti ya umri kati yetu inampa shida sanaaa.naomba kujua tofauti ya age ina effect vpi mahusiano ya watu wawili.
 
mkuu bora ujisomee tu upate GPA nzuri au pass nzuri huko chuo uliko,maana kama akili inashindwa kuchambua hili dogo tu bora tu dada wa watu umuache utamtesa you dont deserve to a real man!! ni PM namba yake huku nimriwaze
 
Wanawake mara nyingi huwa hatupendi kudate na mwanaume uliyemzidi umri. Haina effect yoyote kama mko serious, ila ni kasumba tu ambayo imerithiwa kutoka kwa babu zetu kuwa mwanume lazima awe mkubwa ili aweze kuongoza vyema.
Kama hayuko confortable, akitokea aliyemzidi umri ujue hauna chako.
 
duuuuuh!!!
 
hata mimi nimeliona hili embu changamkia tenda hiyo
 
Mara nyingi wanaume hupenda kuwa na wapenzi ambao kwao ni wadogo kiumri. Isingekupa shida kama hukuwaza huo umri
 
Wanawake mara nyingi huwa hatupendi kudate na mwanaume uliyemzidi umri. Haina effect yoyote kama mko serious, ila ni kasumba tu ambayo imerithiwa kutoka kwa babu zetu kuwa mwanume lazima awe mkubwa ili aweze kuongoza vyema.
Kama hayuko confortable, akitokea aliyemzidi umri ujue hauna chako.

Inategemea na.familia. Kwa sie pangu pakavu tia mchuzi watoto wa.kike hukomaa kimaisha mapema sana sasa kama huyo dada ni wa aina hii basi anaona gap tayari as wavulana wao ni kucheza tu mara nyingi na wazee wengi huwa hawafunguki kimaisha mapema as compared to kina mama..ila kwa watoto wa kike mara nyingi huwa na kina mama benet so maisha anayaona kwa
mwanga halisi zaidi katika umri mdogo!!!!!!!

Kama hali iko hivi basi jamaa utaongozwa na mama huyo na kiukweli yawezekana anaona bado uko ki ujana zaid
 
mkuu bora ujisomee tu upate GPA nzuri au pass nzuri huko chuo uliko,maana kama akili inashindwa kuchambua hili dogo tu bora tu dada wa watu umuache utamtesa you dont deserve to a real man!! ni PM namba yake huku nimriwaze
Tawile tawile hata mimi nitakusaidia wewe mchana mimi usiku
 
msaada wana jf mim ni kijana mweny umri wa miaka 23 nina girlfriend wangu naye anamiaka 23 ila amenipita miezi minne sasa ananiambia ananipenda ila tofauti ya umri kati yetu inampa shida sanaaa.naomba kujua tofauti ya age ina effect vpi mahusiano ya watu wawili.

uko kimapenzi au uko kuangalia totauti???angalia ukimchunguza sana bata waallah hutamla
 
Huyo dada labda ni mtoto mdogo sura ya kizamani ndo maana anajishtukia, lakini angekuwa mtu mzima lakini ana baby face hata angekuwa na 35 wala usingeleta uzi hapa kwani ungemuona ni mdogo kwako.
 
Msome Olesaidimu hapo juu. He has the right answer! Trust me!!
 
Kwan muonekano wake anaonekana kama mama mtu mzima au...acha uoga umri is not a big issue kaka.
 
Tukuulize ww inakuaffect vp?????maana wewe ndo unaxperience hiyo kitu kwa sasa!!!!
 
Sion tatizo....suala ni kuheshimiana tu..mana unaweza ukahitaj uliyempita umri na akakusumbua tu..mapenz hayana formula
 
msaada wana jf mim ni kijana mweny umri wa miaka 23 nina girlfriend wangu naye anamiaka 23 ila amenipita miezi minne sasa ananiambia ananipenda ila tofauti ya umri kati yetu inampa shida sanaaa.naomba kujua tofauti ya age ina effect vpi mahusiano ya watu wawili.

Ai umewadhalilisha wanaume wenzio i see
 
Back
Top Bottom