Habar wana MMU,
Naombeni mnisaidie jinsi ya kumshauri huyu rafiki yangu make nimeshindwa hata chakumwambia....
Ana mchumba wake yuko chuo kmoja cha elim ya juu hapa nchin lakini huyu bwana...
Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo;
Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi????????????????????
ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni...
Salam wana jukwaa ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya,hofu na mashaka ni juu yenu nyie mlio mbali na upeo wa macho yangu(nadhani baadhi mnakumbuka jinsi barua ilikua inaandikwa zamani)...
Jamani, kuna impact yoyote akina dada mtu na mdogo wake kuolewa na kwenda kuishi sehemu moja? Hapa ninapoishi kuna mdada ameolewa tumepanga nyumba moja, mimi nakaa vyumba vyangu viwili na yeye...
Jukwaa hili la MMU limeingiliwa sana hadi kufikia wale ma greater thinker wengi wao kama wamekimbia hivi au wanaonekana kwa nadra sana kama The Boss na wengine wengi.
Hawa wadogo zetu wamekuwa...
Nimekuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja na tuliahidiana mambo yakikaa sama tutaoana kwani tayari wazazi wanajua kuhusu swala hili.
Lakini kinachoniumiza ni kuwa nina...
Ulishawahi kukutana nao hawa ?wanatia huruma mno stimu zinapowapanda wanakuwa kama wagonjwa kabisa au manakuwa kama mazezeta fulani na kama huna pumzi imekula kwako aisee manake mkianza game...
Straight from my Heart
Beautiful because ...
Their kindness
They are soft and warm by touch
Their natural body scent is so beutiful to a mans senses
When they wake next to you in the...
Habari za Mida hii Wapendwa ....
Mi kuna kitu kinanichanganya,,,nahitaji mawazo zaidi...
Ila mi hata ukinijibu hovyo unakuwa umejipotezea muda wako bure.
Swala la kwanza...
Ni kwenye...
Huu ni utafiti wangu kulingana na niliyoyaona na nyie mtakuwa mashahidi.
Mwanamke ukiolewa na watu hawa ujue umekula hasara.
1.waalimu wa vyuo vikuu.
2.wanajeshi wanaoamishwa mara kwa mara...
Habari zenu wana JF, hope mko wazima kabisa kwa uwezo wa muumba.
Leo nimepata kesi kutoka kwa rafiki yangu ambaye ni mjamzito. kama mnavyojua siku hizi, watoto majina wanapewa wakiwa bado...
Jamani nisaidieni.mwenye uelewa wajambo hili na x wangu lkn .huyu x wangu wakati Wa mambo yetu Yale.anata ka vidole vicheze kwenye.k i s I'm mda wote mpaka amalize zamani niliona kitu cha...
Nilikuwa miongoni mwa wanaochukia sana kukorofishana na mtu ninayehusiana naye mfano mke wangu,ndugu zangu n.k ila nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua kuna faida nyingi za mikinzano katika...
Naitwa anthony wambura mzaliwa wa wilaya ya tarime,mara ninategemea kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano mwaka huu kiukweli nimetokea kupenda jeshi toka nikiwa mtoto mdogo baada ya kumaliza...
Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata mjibu yanayoridhisha:
Ni nini hasa sababu ya usaliti katika mapenzi? Je, ni tamaa? Kutoridhishwa kimapenzi!? Au ni asili na hulka...
Kiroho safi najua hii ni fikra zangu but zinaweza kuwa tuna share na wewe...
Tangu nimeanza mapenzi , I prefered mostly white girls to others.
Lakini nakumbuka may 2013 nilibahatika kwenda...
Natafuta girlfriend ambaye atakuwa mke wangu mtarajiwa, kiufupi awe na size yoyote ila asiwe mfupi sana wala mnene sana, rangi yoyote, sichagui dini wala kabila, umri kuanzia 18-23. Ikiwa...
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua...
Habari wana jf
Mimi kijana wa miaka 27 naishi dsm na nimeajiriwa na kampuni moja ya ujenzi.
Natafuta mwanamke wa kuoa kwa sasa umri wake usiwe chini ya miaka 20,haijalishi km ameajiriwa au la as...
Namaste wana jamvi..
Nina rafiki yangu, yeye ni mtu mkubwa tu kwenye sector ya afya.
Jamaa alikua anafikia kwangu kila mara akija DSM, mimi niko single lakini nlikua na girlfriend.
Jamaa...