Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

MAFRA

Member
Oct 20, 2010
21
0
Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo;

Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi????????????????????
ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni uroho tu? naomba michango yenu wandugu
 
urohooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo na ulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiii
 
Speculation nature ya binadamu!
Anahisi kuwa huenda yule yuko zaidi ya huyu!
Matokeo anaweza kukutana na la kukutana nalo huko!
 
Yamekukuta nini
Mbona umekuja na hasira hivyo
Hata hivyo ndo nature ya mapanzi wala usiyaogope
 
utajuaje asali tamu?unaonja..
utajuaje shubiri chungu?unaonja..
tofauti ya chumvi,sukari,pilipili na magadi?unaonja....

we always want what we dont have......
 
utajuaje asali tamu?unaonja..
utajuaje shubiri chungu?unaonja..
tofauti ya chumvi,sukari,pilipili na magadi?unaonja....

we always want what we dont have......

si kila ukionja utapata radha iliyo sahihi
 
halafu cha kushangaza mwanaume anaweza mtamani mwanamke kisa ana makalio na mahipsi makubwa cha ajabu wakiwa faragha wala hashughuliki nayo tena anashughulika na kitu ambacho mkewe au girlfriend wake pia anacho, kazi kwelkwel, dhambi ya uzinzi itatumaliza
 
urohooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo na ulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiii

ulafi upi dada???
mboga inaweza kuwa moja ila mapishi tofauti...
maharage unayopika wewe ni tofauti na yale tunayokula boarding skul...
kwa hiyo hata mwanamke ni m1, ila wana mikato tofauti kwenye maniaje...
unasemaje???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom