Habar wana MMU,
Naombeni mnisaidie jinsi ya kumshauri huyu rafiki yangu make nimeshindwa hata chakumwambia....
Ana mchumba wake yuko chuo kmoja cha elim ya juu hapa nchin lakini huyu bwana anamchepuko mwingine ambao kila huyu mchumba wake akimuulza anadai ashaachana nae,,
Basi huyu dada akaamua kutafuta namba nyingne iIi aact kuwa ndo yule mchepuko,
Wakawa wanachat make huyo mchepuko bado yupo A-level hivo muda mwingine awapo shule hana simu,
Sasa huyu dada kajua ukweli kuwa bado wapo pamoja lakini akimuuliza anadai wameshaachana,
Na wameaidiana jumamosi wakutane make wapo mikoa tofauti,
Sasa huyu rafiki kashidwa afanyaje make na yeye yupo mkoa tofauti na huyo mchumba wake.... USHAURI WAKO PLEASE