Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Jukwaa hili la MMU limeingiliwa sana hadi kufikia wale ma greater thinker wengi wao kama wamekimbia hivi au wanaonekana kwa nadra sana kama The Boss na wengine wengi.
Hawa wadogo zetu wamekuwa wakipost mambo yao bila kufikiria uwepo wa wakubwa zao na baba zao humu.
Sasa wakubwa tulonge. Hivi perfomance ya kiwango cha juu katika sita kwa sita huwa inachangiwa na driver ambaye ni jinsia ya kiume? Je kama driver ni lena, je ligwaride litaweza kuwa zuri kwa jinsia ya kike kushika usikani?