Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka...
A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of Indian men.
The study found that more than half of the...
YES!
Kwa msichana anaye hitaji mapenzi ya dhati,upendo wa kweli,na mwenye ndoto za kuwa na mwanaume bora na mwenye huruma,hekima,mcheshi,mkweli,mkalimu,masikini,na mwenye ndoto za kuolewa.basi...
Anaye kupenda awe kijana wa kiume ama kijana wa kike,mbaba au mmama ni lazima ajali mambo haya matatu yaani:-
Saikolojia ya mwenza wake (means the way his/her mind works and influence...
Kipindi kifupi kilichopita wife alienda kwao kukaa kwa mda fulani kwa sababu za kiafya.
Sasa kuna mshkaji wangu Fulani ni jirani yetu(Tumepanga ndani ya ua mmoja). Hata wake zetu ni friends...
Amah kweli MICHEPUKO sio dili.
Amechanwa viwembe na mwenye mume kwa kosa la kuishi mpaka kazaa na mumewe...
Kiukweli hawa wanawake wote wana makosa..huyu kuchukua hatua mikononi na huyu kuchukua...
Habari zenu ndugu zangu,
Naomba mnishauri cha kufanya.Mimi kwa jinsia ni male mwenye miaka 26,nina mpenzi wangu ambae tunaishi mikoa tofauti.
Kuna kipindi kama wiki mbili zilizopita tuligombana...
Jamani muswada wa katiba mpya umeacha kitu muhimu sana ndio maana umekosa baraka na kuyumba kila kukicha. Sasa tupendekeze muswada wa MAPENZI ili kuwa muongozo na ukipitishwa uwe sheria...
Habar wakuu
Haha kwa hali hii ya hewa ya jiji la Dar? Single boys au girls kama Makimuga, najua ni shidaaa, coz wale dabo wanataman hata mvua ipige siku nzima ili waendelee kukumbatian coz...
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila...
Pindi akiattend clinic kwa mara ya kwanza.
Mimi leo nilikuwa kama kenge kwenye msafara wa mamba 30.
Mchumba wangu mjamzito na ndio siku yake ya kwanza kuanza clinic, kwa hiyo mafunzo na vipimo...
habari zenu wapendwa wote.lengo kubwa leo nahitaji msaada wa kimawazo mimi mwenyewe nashindwa.nimefanikiwa kuwa kwenye mahusiano miaka miwili sasa,na nina mtoto mmoja na huyohuyo muhusika.katika...
We have been given 24 hrs to move out of our office because we are Gays , the Landlord came to our office this morning and told us that we can not continue using the office because we promote...
Mara nyingi sana kumekuwa na malalamiko kutoka kwa kundi la upande mmoja kuwa wanaoombwa rushwa ya ngono ni wakike,Hivi hii kitu kwa wa- jinsia ya kiume haipo, au ndio wanakufa kiume bila kulalamika?
Kwa nini unataka kuoa/kuolewa?? Ni kwa sababu rafiki zako wameoa,wameolewa na wewe unajifikiria kukosa amani na kupoteza kujiamini?
Au unapata pressure kutoka kwa wazazi wako au unaitaji kuitwa...
Heshima kwenu wanajamvi,
Mara nyingi kumekua na mijadala inayohusu wanawake wanaovaa cheni miguuni na tumekua tukipata majibu tofautitofauti toka kwa wadau mbalimbali,wengine wakisema kwamba ni...
Nimepita sehemu japo ni makala ya muda napenda kuiweka hapa wote tuchaingie mawazo hivi mahusiano imara na ndoa imara itategemea na mtoto wa kwanza au mwisho kuzaliwa ktk familia kama jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.