Ndugu yake kanipenda baada ya mdogo wake kunitema.

Stevery2

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
396
Reaction score
47
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua ananicheat imenipain sana,mchezo wote huo aunt yake na dada yake wanajua basi hapa juzi kati dada yake kaomba chance anadai yeye nae aliumizwa mwez wa 5 last year hvyo anaomba nafasi tuwe pamoja koz alikuwa ananipdnda ila akawa anamheshimu mdogo wake.Ila nilikuwa sijasex na MDOGO WAKE yule mpenz wangu,wadau nisaidieni kwa hili,
 
Mkuu dunia ni yako na chaguo ni lako..

Unachotaka tukusaidie hapa ni nini hasa? Kojoleo au?

Go do something.
 
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua ananicheat imenipain sana,mchezo wote huo aunt yake na dada yake wanajua basi hapa juzi kati dada yake kaomba chance anadai yeye nae aliumizwa mwez wa 5 last year hvyo anaomba nafasi tuwe pamoja koz alikuwa ananipdnda ila akawa anamheshimu mdogo wake.Ila nilikuwa sijasex na MDOGO WAKE yule mpenz wangu,wadau nisaidieni kwa hili,

kama ya kufikiria cha kufanya vua chupi piga kama bao tatu then uje uombe ushauri ukimuacha utudhalilisha uanaume
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.
 
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua ananicheat imenipain sana,mchezo wote huo aunt yake na dada yake wanajua basi hapa juzi kati dada yake kaomba chance anadai yeye nae aliumizwa mwez wa 5 last year hvyo anaomba nafasi tuwe pamoja koz alikuwa ananipdnda ila akawa anamheshimu mdogo wake.Ila nilikuwa sijasex na MDOGO WAKE yule mpenz wangu,wadau nisaidieni kwa hili,

Hii lugha hata sijaielewa, subiri vijana wenzio wakushauri
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.

mh owky mimi nimekuelewa sijui yeye!
 
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua ananicheat imenipain sana,mchezo wote huo aunt yake na dada yake wanajua basi hapa juzi kati dada yake kaomba chance anadai yeye nae aliumizwa mwez wa 5 last year hvyo anaomba nafasi tuwe pamoja koz alikuwa ananipdnda ila akawa anamheshimu mdogo wake.Ila nilikuwa sijasex na MDOGO WAKE yule mpenz wangu,wadau nisaidieni kwa hili,
mkuu, damu iliyokuzingua ni damu sawa na inayokulilia!

ukikatwa mguu wa kushoto, basi okoa wa kulia ukusaidie japo kuchechemea...

nakushauri kitu kimoja, achana na hiyo familia ndugu, tafuta mwanamke mwingine,

rent a space in her heart, love her so much, other things will remain constant...
 
Niaje wadau?naomba ushauri wenu niko kwenye wakat mgumu sana,hapa juzi kati mpenzi wangu nimebain anatoka na mchiz fulani wanapiga nae buku,binti hana time na mimi kama zamani.Kuja kugundua ananicheat imenipain sana,mchezo wote huo aunt yake na dada yake wanajua basi hapa juzi kati dada yake kaomba chance anadai yeye nae aliumizwa mwez wa 5 last year hvyo anaomba nafasi tuwe pamoja koz alikuwa ananipdnda ila akawa anamheshimu mdogo wake.Ila nilikuwa sijasex na MDOGO WAKE yule mpenz wangu,wadau nisaidieni kwa hili,
lugha yako tu uliyotumia inaonyesha you are under 24yrs old
Ihifadhi vizuri hii post ikumbuke ukifikisha miaka 30
take back the time to this date...! Utajicheka mno!!!
In fact kuna vitu huwa vinahitaji maamuzi binafsi kwakuwa una akili kamili na timamu.! Msaada tunaomba pale ambapo kwa upeo na uwezo wetu wote na akili zetu zote na elimu na maarifa yetu yote vimeshindwa
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.

We nawe, si umeona dogo kasema hajawahi kuonja nyama ya aliyemmwaga? Ngoja ajitestie pishi kwa dada mtu, kama vipi ndo asepe.
 
Threads kama hizi mara zote huletwa na ID's mpya kabisa...
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.

Na unaweza kusababisha ugomvi kwenye familia ya watu.Kwani uwezo wako wa kutafuta unaishia apo apo kwenye iyo familia?
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.

Ushauri mzuri ila kwenye mfaano wa simba hapo kama sikubaliani na wewe kabisa.
 
Huyo mdogo mtu atasema alikuacha kwa sababu ya dadake. Kwa nini unafanya zero grazing? Simba hawindi zizi moja mara mbili, hebu acha uvivu. Tafuta fleva tafauti.

poa mkuu bt dogn ndio kazingua,il haina noma.
 
Back
Top Bottom