mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata mjibu yanayoridhisha:
Ni nini hasa sababu ya usaliti katika mapenzi? Je, ni tamaa? Kutoridhishwa kimapenzi!? Au ni asili na hulka ya mtu!?
Nawasilisha