Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
Naitwa anthony wambura mzaliwa wa wilaya ya tarime,mara ninategemea kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano mwaka huu kiukweli nimetokea kupenda jeshi toka nikiwa mtoto mdogo baada ya kumaliza kidato cha nne niligoma kuendelea na high school ili nijiunge na jeshi uamuzi wangu ulileta mgogoro nyumbani ikabidi nihairishe nikaenda miaka miwili kidato cha tano na sita...ila kwa sasa sitaki kuendelea na chuo kikuu nataka niende jeshi kwanza kwani hizi ndoto zimeutesa moyo wangu sana...naomba mniunge mkono wakuu ingawa nyumbani wamenisaliti kwa kushindwa kunionyesha ushirikiano.
Nawasilisha.....
Nawasilisha.....