Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna watu walikuwa wadau wakubwa sana wa hili jukwaa. Usingeweza kumkosa mtu walau kila week. Ila kwa sasa wamepotea sana kiasi kwamba wanazua hali ya wasiwasi. Naomba tujaribu kupeana taarifa...
16 Reactions
340 Replies
22K Views
Kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano. Mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote. Sometimes nahisi kama...
12 Reactions
136 Replies
10K Views
1. Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la. 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna. 3.Kama viatu vina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea...
1 Reactions
40 Replies
13K Views
Haya wakubwa mi nakumbushia tu maana wajinga bado wapo kutokana na changamoto za hapa na pale katika kupata elimu, hivyo wasije kukusumbua. Maisha magumu na stress zimejaa tele, mjinga naye...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
0 Reactions
93 Replies
21K Views
Usimuulize mpenzi wako wanaume wangapi ametembea nao. Usimuulizen mpenzi wako kama alikwisha wahi kutoa mimba. Yeye ndiye mwenye kuamuwa kama akueleze endapo moja kati ya exes wake ni ndugu yako...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za majukumu wana JF. Mwanaume baba yake alifariki akiwa na umri wa miaka 3, kwenye upasuaji ambapo alipoingia operation hakutoka na ndiyo ukawa mwisho wa maisha yake. Ukizingatia kuwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea. Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Kwa kuangalia idadi ya watu wanaoathirika kufuatia kuvunjika kwa uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume mtu atagundua kwamba wanawake ndiyo ambao hupatwa na athari kubwa zaidi. Kwa mfano ukichukua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwinuke zeze wabwanga na wandeee! Kuna uzi nimeuona mdau anaulizia kama mikao ya kula pilau inawezakupelekea kuzaa mtotomwenye akili (sijui kuweka link mshamba mie ningewawekea) kwa faida ya...
4 Reactions
76 Replies
26K Views
Hivi leo hii mtu kama anakupenda siku tatu hamja wasiliana anakwambie bize hakupendi kuna njia nyingi tu hata bila kuonana na ukatambua unapendwa tafuta anae kupenda sio kukuzingua.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwako wewe mpenzi wangu mpya hapa mjini. mie nimefalli in love halafu wewe unanipotezea. halafu wajifanya wanipenda. kwanza mie najitambua bora nibaki njia kuu ti japo haina lami
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Waungwana mnikaribishe na mnipe muongozo humu jamvini mwenzenu mgeni humu. Nategemea ukarimu wenu wa hali ya juu.. Asanteni waungwana.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau,wanandoa wengi siku hizi hii hesabu ya mke na mume kuwa mwili mmoja ni ngumu sana kwao.Kila mtu anafanya yake kikubwa jina 'mke au mume' wa fulani.Hata hizi haki sawa hawazungumzii jambo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Six months into our marriage, but no sex yet I have been married for six months now, but have not had sex with my husband. I am one of those that decided to abstain from sex till marriage. What...
2 Reactions
102 Replies
16K Views
Nimegundua kuwa wanandoa wengi wanaogombana au kuachana walikuwa hawafahamiani vema wakati wa uchumba, Suala la kuoa/kuolewa ni kama ujasusi, ambapo mtu analazimika kutafuta habari za upande wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa mpenzi wako mahaba-niue niteketeze kabisa yenye megawati za kumtosha kuendesha mitambo ya furaha kwenye Moyo wake...ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…