Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF?? Ni jamaa umeoa, then ukaamua kuchepuka na bahati mbaya mkeo akaujua mchepuko!! Si unajua mjini umbea...!! Mkeo kakuuliza ukakana, siku ya siku unawakuta wapo pamoja tena wanaonekana...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wanajamvi leo nilienda kupata lunch maeneo flani karibu na stendi ubungo nikakutana na wadada wakiagiza pia mambo ya msosi walikuwa wengi na sare zao za makampuni ya mabasi wanayofanyia...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Kama wewe ni mkazi wa mjini utakuwa unajua vema kuhusu baadhi ya mavazi yanayopendwa sana na baadhi ya wanawake waishio mijini, Huu uvaaji wa nusunusu una athari kwa wengine iwe kwa namna moja au...
2 Reactions
66 Replies
16K Views
Ndugu WanaJF, Kuna hili swala lingine ambalo sasa hivi limechangamkiwa kwa kasi ya ajabu mno, nalo ni watu kwenda kwa waganga wa kienyeji (wachawi) wakiamini kuwa matatizo yao yanayohusu...
5 Reactions
103 Replies
36K Views
Nauliza hivi maana wakati mwingine mwanamke anaweza kuumizwa kila siku, leo ukimgundua na mwanamke huyu anatulia kwa muda au kukudanganya eti harudii tena, lakini cha ajabu baada ya muda tena...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Morning wana JF! Mwenzenu kuna kitu kinanipa shida akilini! Naamini wengi wa members humu hawafahamiani kwa sura! Humu JF mimi kila siku najihisi kama nawasiliana na watu ambao tunafahamiana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
A man allowed a hyena to attack him and eat his genitals after being told it would help him to become rich. Chamangeni Zulu said he was mauled by the animal in the African bush. As well as...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
,, Eti walokole ni wagumu.!!? Says who? Hapa mtaani ninapokaa,kuna mabinti ambao nilikuta wamejenga jina kwamba ni ma 'untouchables', yani hakuna mwanaume anaweza walala.. ,,na kweli wana sali...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wapendwa wa JF! Jumamosi ya mwisho imenifundisha kuwa kuna maswali mengine siyo ya kumuuliza mke/mume, mpenzi ama mwenza wako! Kwa sasa hivi hatuna dada wa kazi, tangu aondoke dada yetu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tatizo ni huyu binti ambaye nimetembea naye miaka mitatu iliyopita, Mwezi wa tatu mwaka huu amefariki dunia kwa HIV, Yaani sina Raha... Kila nikifikiria kwenda kupima ndio balaa kubwa kabisa yaani...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Hii ni taarifa maalum kwa kina dada. Je, utafahamu vipi kama jamaa hana mpango wa kukufanya mpenzi wake au pengine hata kufunga ndoa na wewe siku moja? Utajua vipi kama jamaa anataka ngono tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba ushauri jamani. Nimefiwa na mchumba wangu miezi 9 iliyopita na kaniacha na mtoto mchanga. Nifanyaje kupoteza mawazo naumia sana jamani nakulia kila siku.
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Natumaini jumapili ni njema kwenu wote., nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,
0 Reactions
141 Replies
26K Views
Kama upo na mtu hana dalili ya kuja kujitambilisha kwenu, na umri unaruhusu hii SIKUKUKU YA WAJINGA INAKUHUSU Kama upo kwenye uhusiano mwaka wa saba umevalishwa pete ya uchumba na hamna...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari, Nimeikumbuka hii mesage ya memba humu ndani simkumbuki jina , nikaona niwakumbushe wenzangu tunaopenda frends with benefits She is not your sister, cousin, or even distant relative...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu sitaki kuwachosha nawaletea habari kamili, kuna siku nilienda katika mazishi sasa nilifuatana na rafiki yangu wa kike, tumefika pale tukakutana na ndugu zake katika kubadilishana mawazo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ni kudeka ua vp tukiwa wote utasikia naomba unifungie/unibanie blezia/sidilia yangu mbona nikiwa sipo unujibania mwenyewe au mitego ya kiutu uzima mimi huwa sielewi elewi haka tabia wakuu...
0 Reactions
110 Replies
16K Views
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia...
1 Reactions
33 Replies
14K Views
Kuna hii tabia ambayo zamani nilikuwa naiona kwenye movies za Kinigeria, lahaulaah, hata wabongo nao wameiga na kuanza kuziigiza. Sasa watu wameamua kwenda mbali zaidi na kuweka movies katika...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume. nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach . kwa aliye serious naomba tuwasiliane namba 0718810898
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom