Kitambaa cha Kotoni au pamba

Kitambaa cha Kotoni au pamba

laussane

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Posts
255
Reaction score
132
Wakuu sitaki kuwachosha nawaletea habari kamili, kuna siku nilienda katika mazishi sasa nilifuatana na rafiki yangu wa kike, tumefika pale tukakutana na ndugu zake katika kubadilishana mawazo zikaingia story za usafi wa mwanamke.

Ndugu mmoja wapo akawa anaelezea jinsi ya kusafisha uke, akasema namnukuu "mwanamke ili awe msafi wakati wa kujisafisha achukue kitambaa cha kotoni au pamba aingize ukeni asubuhi alafu jioni ndio akitoe then akutane na mume wake.

Mimi nililiacha palepale maana niliona zito kwangu, sasa rafiki yangu ambae ni ndugu zake kalibeba na tangia siku ile uzi ndio huo, sasahivi mjamzito nabado anaweka jamani haiwezi kumletea madhara kweli?

Nawaasa wasichana wenzangu pia msije mkatumia njia hii kwakweli naona ya ki local sana na nafikiri inaweza ikaleta balaa baadae, maana unashindisha nguo ndani kutwa mzima wakati sio mahala pake kwa uelewa wangu mdogo nadhani inaweza ata kusababisha cancer au tatizo lolote zito.
 
2x+x=2
find the value of x....

kweli ukimchunguza bata....utakula kuku.
 
Uuuuupsi this new weka mbali na papuchi
Hukuruhusiwi kuwekwa chochote osha na Maji safi na mikono safi asubuhi na utoe uchafu wa usiku...jion osha na maji tu usitoe kwa maana mchana maji maji yanalinda ya usiku ndo uchafu
 
Well said Ichana ni hatariii sijui ata nimwambie nini aelewe hatari hii
 
Well said Ichana ni hatariii sijui ata nimwambie nini aelewe hatari hii

if u realy care about her, u av to sacrifice na unakuwa tayari kwa lolote ndo maana ya urafiki wa kweli akikasirika sawa akifurahi sawa
samahani kwa kuuliza anakiweka kama pedi au anafanyeje nikitafakari sipati picha

mweleze madhara ya kuchomeka huko vtambaa sehemu yenyewe lain ile pia joto atasababisha fangasi bure.
 
Anakitumbukiza ndani kabisa madai yake kinanyonya uchafu sasa sijui uchafu upi ambao hautoki kwa kuosha aaargh ata sijui namsaidiaje? nimemuelewesha vya kutosha, labda nimprintie comments zenu akasome anaweza kubadilika
 
Hmm hii dunia hii kazi ipo
Za kupewa changanya na zako

Huyu naona anaishi kwa za kupewa tu, tulikuwepo wengi katika hiyo mada lakini sidhani kama kuna alieondoka nayo zaidi ya yeye
 
Natamani kungekuwa na jukwaa la wanawake tu, la kujadili mambo yenu kama haya. Baadhi ya vitu kama hivi sio vizuri saana kuviweka public kiasi hichi.
 
Natamani kungekuwa na jukwaa la wanawake tu, la kujadili mambo yenu kama haya. Baadhi ya vitu kama hivi sio vizuri saana kuviweka public kiasi hichi.

Mkuu nimekuelewa na sio wote tunaofanya hayo, hii ni katika kutafuta njia sahihi ya kumsaidia huyu mwathirika aache hatari hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom