Jamani nina rafiki yangu amepata ajali sasa cha kushangaza nyumba ndogo a.k.a Mchepuko unang'ang'ania umuuguze wakati jamaa ana mke kabisa leo nimebeba msala kwa kukubali kuwa ni mchumba wangu...
Nina mpenzi wangu ninampenda sana naye ananipenda sana infact tunapendana ila sasa mimi baba yangu ni mchungaji yeye kwao mama na baba yake ni waislamu tena swala tano msichana huyo ananipenda...
^^
Wana jf na MMU members, mwanachama mwenzetu nameless girl anaumwa. Kwa sasa yupo nyumbani bado hajisikii vizuri. Taarifa hii ni kwa mujibu wake mwenyewe.
Get well soon best !!!
Lets pray...
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya...
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla...
Nguli wa fasihi Tanzania alishawahi kuongelea mapenzi bora katika kitabu chake kiitwacho Mapenzi bora.
Nguli huyu SHABAN ROBERT alihimiza sana swala la mapenzi bora hii ni kwa sababu mapenzi bora...
Natafuta rafiki wa kuchart naye whatsapp tujuane tuonane tutumiane pc video tafadhali nahitaji marafiki awe wa kike au wa kiume nahitaji
namba 0762997215
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye...
Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana...
Habari zenu Wakuu, Always mi husema black is beauty na huwa najivunia being black nashangaa sana madada zetu na baadhi ya Makaka wasio jielewa wanavyohangaika kubadili rangi za miili yao nakuwa...
Kuna mwanasheria mdada mmoja, anataka ktk familia nzuri tu kifedha na kielimu. Huyu mwanasheria umeenda kidogo ila akawa hajaolewa, bi huyu akaanza mahusiano na mume wa mtu, mkewe huyo baba...
Habarini ndugu zangu,
Naomba kuuliza kuhusu ndoto nyevu za usiku,maana nimekuwa naota nafanya mapenzi mpaka nina chafua shuka,kuna mtu niliwahi kumuuliza akaniambia eti nina jini mahaba je ni...
Haaaalllooowww MMU members,
I have something I need u guys to help me,to be honest I am in deep love kwa huyu boyfriend wangu but tatizo simuelewi .Yupo na picha nyingi za 3 different girls bt...
Utani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka;
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
........................ Mume wa mtu HAPANA...
Habari gani mabibi na mabwanaa,
Dinazarde nakuja tena kuchanaa natokeaa jiji la Mwanza na thamani ya juu kama Samaki wa Mwanza "SATO"
heheeheeehee! watu8 usione wivu njoo Mwanza ule Samaki...
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26, nimeolewa hivi majuzi na Mme wangu wa umri wa Miaka 34, tunapendana sana na ananitimizia kila kitu isipokuwa kuna shida kwenye "Unyumba".
Tulianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.