Wadada stendi ya mkoa ubungo

Wadada stendi ya mkoa ubungo

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
946
Reaction score
214
Habari wanajamvi leo nilienda kupata lunch maeneo flani karibu na stendi ubungo nikakutana na wadada wakiagiza pia mambo ya msosi walikuwa wengi na sare zao za makampuni ya mabasi wanayofanyia kazi sina sababu ya kuyataja, story zilizokuwa zinaendelea ni kuhusu wanaume zao wa nje ukiacha ndoa zao maana na pete za ndoa wamevaa basi kila mmoja anajisifia mechi zake za nje tena kwa idadi ya wanaume wengi na jinsi wanavyoshiriki tendo hilo kwa kweli nilichoka kusikia hakuna sababu ya wao kutumia kondom kwani wanaume zao hao wanapenda kuingia chumvini kabla ya kufanya lolote na hata kujisifia huwa wanafanya mara ngapi yani bao ngapi, sasa najiuliza kwa hali kama hiyo nani atapona kwa sababu hawa wa dada wanawaume zao na home na hao mabwana zao wanawake zao home hali ikoje ya huu ugonjwa hembu tujadili wanajamvi.

Karibuni.
 
Michepuko imeshakuwa janga karne hii
 
tunaamini vipi hii taarifa.?
 
Hapafai pale yani pale mke mme wote ni chawote
 
Laiti ungejua mazungumzo yangekuwa hayo ungeweka speaker masikioni mapema.

Ila na wewe jiulize, unawaona hao ni vimeo lakin wewe umecheat mara ngap??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mbona umeongea kimbulula wewe huwezi kujifunza kama hujasikia au kuona naona hujakuwa haya kakojoe ukalale.
Laiti ungejua mazungumzo yangekuwa hayo ungeweka speaker masikioni mapema.

Ila na wewe jiulize, unawaona hao ni vimeo lakin wewe umecheat mara ngap??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Michepuko imeshakuwa janga karne hii

hata zamani ilikuwepo sema wazee wale walikuwa wasiri sana tofauti na sasa ambapo inakuwa kama sifa iv unapokuwa na wanawake au wanaume wengi
 
Mchepiko ndo dili, NJIA KUU FOLLENI
 
Habari wanajamvi leo nilienda kupata lunch maeneo flani karibu na stendi ubungo nikakutana na wadada wakiagiza pia mambo ya msosi walikuwa wengi na sare zao za makampuni ya mabasi wanayofanyia kazi sina sababu ya kuyataja, story zilizokuwa zinaendelea ni kuhusu wanaume zao wa nje ukiacha ndoa zao maana na pete za ndoa wamevaa basi kila mmoja anajisifia mechi zake za nje tena kwa idadi ya wanaume wengi na jinsi wanavyoshiriki tendo hilo kwa kweli nilichoka kusikia hakuna sababu ya wao kutumia kondom kwani wanaume zao hao wanapenda kuingia chumvini kabla ya kufanya lolote na hata kujisifia huwa wanafanya mara ngapi yani bao ngapi, sasa najiuliza kwa hali kama hiyo nani atapona kwa sababu hawa wa dada wanawaume zao na home na hao mabwana zao wanawake zao home hali ikoje ya huu ugonjwa hembu tujadili wanajamvi.

Karibuni.

Mbona kawaida tu. umechelewa mno kufahamu hilo. Halafu sasa wanaume malaya huwa hawamvalii condom mke wa mtu haswa wakijua mumewe ni mtulivu kwa sababu wanaamini hatokuwa na VVU, lakini wao hawajali kama watamuambukiza huyo mke wa mtu.
Kwa siku hizi ukiwa na mwenza ambaye unamuamini kwa sababu tu unadhani ni mtulivu ujue nafasi yako ya kupata VVU imeongezeka mara mbili yaani kwa upande wako na kwa upande wake.
 
'Gonjwa limekaa mahali pa baya sana,ambapo kila mtu anapapenda'
 
Hili jambo la ajabu kweli wanakazana kabisa wanajisifia kutoka nje ya ndoa .hapa kazi ipo tena sio ndogo.
 
Back
Top Bottom