Sijawahi kumfikisha mwanamke kileleni

Sijawahi kumfikisha mwanamke kileleni

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Natumaini jumapili ni njema kwenu wote.,
nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni
naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,
 
Kujua tatizo ni sehemu ya suluhu, hongera kwa kutambua hilo. Wengine hata huwaa hawajui au hawakubali wao ni sehemu ya tatizo.
 
kwani ugaidi umeacha si lisema kuna mabikra 73 ahera sasa utawabikiri vip kama hata kufikisha ishu
 
Huwa unawapandisha milima ipi?kama ni kilimanjaro onana na meku pale marangu au mtoto wa swai pale machame na uache kubeba mizigo mikubwa.
 
Kujua tatizo ni sehemu ya suluhu, hongera kwa kutambua hilo. Wengine hata huwaa hawajui au hawakubali wao ni sehemu ya tatizo.

Ni kweli utakuta wanadai tatizo ni la mwamke sijui hawajibiki ,sijui nini, wakati mwanaume ndiye mwenye jukumu la kumfikisha kileleni mwanamke.
 
Natumaini jumapili ni njema kwenu wote.,
nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni
naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,

Mpige bomu kwenye uke wake,atafika kileleni fasta.
 
Natumaini jumapili ni njema kwenu wote.,
nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni
naombeni mnipe maujuzi ili niweze kumfikisha mwanamke yeyote yule kileleni.,

Tatizo la wengi hili ngoja mzizimkavu atusaidie
 
Kama humfikishi kilimanjaro basi utakua ww mbinafsi, Muulize kama amefika ndipo ww umalize.
Maana ukianza kabla yake utakinai mapema huku yeye bado ana moto wa kifuu cha nazi
 
Kwahiyo huwa unawafikisha wanaume tu?
Inawezekana watalii wa kike ni wavivu kupanda milima mirefu!
 
Back
Top Bottom