Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,457
Habari JF??
Ni jamaa umeoa, then ukaamua kuchepuka na bahati mbaya mkeo akaujua mchepuko!! Si unajua mjini umbea...!!
Mkeo kakuuliza ukakana, siku ya siku unawakuta wapo pamoja tena wanaonekana ni marafiki wakubwa! Ila ulipoanza mahusiano na kimada wote walikuwa hawajuani kabisa isipokuwa kimada ndiye alikuwa wa kwanza kumjua mkeo tuu!!
Sasa imekuwaje kakubali kuwa rafiki wa karibu wa mkeo? Ili iweje ilhali anajua kabisa anamuibia mume na wewe unajua kabisa mkeo kaanzisha urafiki na mwizi wake tena anajua anamuibia?
Je, utaendeleza mahusiano na kimada?