Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Marafiki, upendo wa dhati ndilo jambo la kheri baina yetu na wengineo. Hivi inakuwaje mpaka mtu wa tabaka la juu anamchukia na kumtolea maneno makali au hata yenye kukera mtu mwenye tabaka la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wahindi ni kawaida mke na mume kukaaa dukani na kujua mambo yote ya michakato ya biashara kwa kuwa wanakula na kupata mahitaji mengine kutokana na hiyo biashara. Kazi iko kwetu baadhi yetu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hebu nisaidie hapa kujibu...PESA ndio inamaliza SHIDA au SHIDA ndio inamaliza PESA..?
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila siku naona tuu, watu wakisema jukwaa la wakubwa. Hilo jukwaa liko wapi hasa wengine hatulioni?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Hope weekend yenu iko vizuri. Kwa upande wangu sio nzuri sana kutokana na yaliyonikuta jana. Kama mjuavyo kwenye relationship kuna mambo ya kutoana out hasa weekend,nami kwenye...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Hivi inakuwaje mpaka mwanaume au mwanamke anaamua kuisaliti ndoa yake? Je ni tamaa za pesa au ngono au hata kuichoka ndoa? Nahitaji majibu yenye kuelimisha guys
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kitendo cha kufall In love au hiki kinachoitwa kama sijui Mapenzi kati ya watu wawili kimebuniwa na Binadamu na SIYO cha Asili! Kwenye asili kabisa ya Binadamu hakuna kitu kama kufall In love...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mmeshindaje bhandugu?, Wengine wananishauri niolewe nae tuu nitajifunza mpenda ndani ya ndoa... ni hivi kuna huyo jamaa amekua akinitaka kimapenzi kwa miaka mitano sasa na ni mwanaume ambaye...
0 Reactions
24 Replies
48K Views
Je wewe ni msichana mrembo? Una umri wa miaka 24-30. Je wewe ni mcha mungu? Kama unajiamini tuwasiliane kwa wandwib@yahoo. Com. Nipo serious mimi ni mwalimu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Mimi ni binti wa miaka 25, Nilianza mapenzi miaka kadhaa iliyopita na kaka mmoja ambae tulikuwa na tofauti ya miaka saba. Uyo kaka nilimpenda sana kuliko neno sana lenyewe lilivyo, na sikuwahi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hallow Wakuu,natumaini hamjambo. Kuna Mate wetu mmoja tulikuwa nae Mazengo sekondari A level mwaka 1983-1985 PGM. Huyu bwana alikuwa mpiga gitaa mzuri sana enzi hizo,na alishawahi kupigia band...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilikua ijumaa saa sita usiku nliposikia mlango ukigongwa, nilishtuka kwani room mate wangu hakuwepo tuliagana akitoka kuangalia mechi ya Chelsea na arsenal asirudi kwani nina mgeni. Nkakurupuka...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Baada ya mapenzi ya Prezzo na demu wake wa kitanzania Starlisha Tillya kuisha, Prezzo kwanza alianza jana kwa kuweka picha za Goldie kusema ana mmiss alafu akaweka ya Halle Berry na kumsifia...
0 Reactions
192 Replies
22K Views
Kwa faida ya kina kaka embu wadada tujuzane mnapenda wapenzi/wenzi wenu waweje linapokuja swala la upole.Hapa siongelei ule upole wa muda kwamba ikitokea ugomvi mara moja moja anaweza kujishusha...
14 Reactions
268 Replies
24K Views
Ni wivu, na hasira za kunyimwa penzi,,, akamuua mpenziwe,Daa.. very sad mpenziewe hakutaka wala onyesha dalili ya kumuhitaji pistorius,,,,at the eve of the valentine day,,, hata zawadi...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wasalaaaam ndugu wajeifii (jf) Mimi ni kijana nilie na matazamio ya kuitwa mzazi siku moja ktk maisha yangu ya kuishi hapa duniani na tena huwa ninajaribu kufikiri ni kwa jinsi gani hii ndoto...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom