Hivi hapa JF pana ubaguzi?

Hivi hapa JF pana ubaguzi?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,840
Reaction score
38,930
Kila siku naona tuu, watu wakisema jukwaa la wakubwa.

Hilo jukwaa liko wapi hasa wengine hatulioni?
 
Kila siku naona tuu, watu wakisema jukwaa la wakubwa,.
Hilo jukwaa liko wapi hasa wengine hatulioni?
una umri gani hadi utake kuliona hilo jukwaa!una kifua wewe...
 
ni kweli kabisa pana ubaguzi kwakuwa hata jukwaa la wadogo halionekani
 
Endelea kukua umri ukifika utaliona bila shida kabisa wala usihofu juu ya hilo mwaMMU mwenzetu
 
Huwa halitafutwi, bali linakuja automatic, kama vile unapobalehe na kumea pubic....

So ukikuwa na kubalehe utakuwa connected automatically..........vuta subra.
 
Back
Top Bottom