Habari zenu wakubwa,
Leo asubuhi dada yangu binamu amekuja home na talaka mkononi, ameachana na mume wake.
Dada yangu amezaa na jamaa watoto watatu wa kwanza yuko kidato cha nne na wa mwisho...
Hi!
Wewe ni binti mrembo na upo Dar? Basi fursa imekuangukia leo ya kupata kijana mtanashati kwa ajili ya sex partnership.
Kwa wenye sifa zifuatazo ndio watapewa kipaumbele:
1. Umri uwe...
Nimekuwa nikiona au kusoma post za wana JF mara natafuta mchumba mara natafuta sugar mamii mara natafuta msichana wa kuoa anaejitambua hivi uwa mnapata kabisa na mnafikia malengo ya kuoana nitoeni...
Wana JF.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au...
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.
Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara...
Katika kukuletea habari nzuri na mbaya zimhusuzo mkeo/mumeo/mpenzio,nani unamwamini? ndugu?rafiki?jirani? kwanini?
Binafsi najiamini mwenyewe ili kumuacha mke/mpenzi wangu kwakuwa nakuwa...
Watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua....
Binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya...
Asubuhi kumekucha, kama kawaida unatakiwa kuwahi kibaruani ili kumudu kupata mkate wa kila siku. Lakini unajikuta ukiwa na lindi la mawazo kuhusu siku yako itakavyokuwa, kuna mawazo mengi...
kuna wakati unakuta upo na mtu kwenye mahusiano ,ila unaona huyu mtu simtaki tena lakini yeye analazimisha hataki kukuacha,na wewe unataka kumuacha kwa amani bila kumuacha na makovu wal kinyogo...
Baada ya mpenz niliempenda sana kunisaliti nilijikuta nimedevelop kitu ambacho kwa sasa naona sio kizuri though i used to enjoy it! Yaani, I lyk to hurt men, to break their hearts! I allow them to...
Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka bado anaguna utamu tu mpaka mimi nichoke.
Nimekuwa nikiwa na tabia ya...
usiombe ukakutana na haya majaribu yaan very unbearable!!..hii ni kwa hisani ya muke ya muzungu!!
"Nimeolewa huu ni
mwaka wa pili sasa
nashukuru Mungu
mume wangu
tunaelewana vizuri...
katika kazi ngumu yangu huwa napenda kupata dk 10 za kupitia MMU kupumzisha akili, lakini nikija hapa hujikuta namaliza saa zima kutokana na mada zilivyotamu .
Nisaidieni nifanyeje ili nisitumie...
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4...
Hivi ulishawahi kukaa uchi mbele ya kioo na ukajiangalia?
I mean kioo ambacho unajiona mwili mzima ?
Ushawahi kujiangalia mbele na nyuma ?
Body morphology zetu zinatisha zinachekesha mno ...
Utawafahamu tu ni wakimya hawanywi pombe hawavuti sigara hawaendi club kinywaji chao kikuu soda.
Ukiwaangalia machoni kama watu lakini maamaaa wee hawa watu ni moto chini kilevi chao kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.