Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nahitaji mchumba kutoka Zanzibar
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi...
0 Reactions
130 Replies
13K Views
Sijui niiweke hii news sehemu gani kule habari mchanganyiko naona kama sio penyewe kule chit chat sipaeLewi kule intelijensia kumejaa wanoko tu siredi itafungwa kule jokes na nin sijui sio paHala...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Seriously lookin for a aged girl 20-28 yrs teacher, anaweza kuwa mwalimu wa primari au sekondari kikubwa awe na uelewa mkubwa na mwenye uwezo wa kukatua matatizo, pia awe mwenye uchungu na maisha...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Asalaam wana jf. Majira ya saa nne usiku huu,nilitoka kwangu nakwenda kutazama mechi katika bar ya jirani nakwangu.Muda ulipofika watu waliokuwa nje wakaingia ndani na mechi ikaanza rasmi,Muda wa...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wenginehuomba kurudi ili wakutesti tu jinsiulivyo Mbulula,jinsi usivyo namsimamo na jinsi ulivyo CHEAP nahuna Misimamo wala Future. Jitu...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Salaaaam sana wadau wa mmu, Naombeni ushauri wenu jamani,mie nina uhusiano na dada mmoja.sasa nilijaribu kucheat kwa demu mwingine for a while sababu yeye yupo mbali huko chuoni. Kilichotokea ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi nimda nilipotea sasa narudi tena... mwenzenu sijui nitajiepusha je na mtego huu tangu nimeyajua mapenzi mwenzenu nimekuwa na mausiano na kama simke wa mtu basi alisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF... Nilikutana na mke mmoja ambae tulikuwa na mazoea tu nikama rafiki yeye ni mfanya kazi kwenye ofisi binafsi. Maisha yaliendelea eneo alipokuwa anaishi palikuwa na duka na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Hebu jamani nishaurin sababu dem wangu anatoka na njemba kama mbili hivi je nifanyeje? Nina uhakika.
0 Reactions
131 Replies
12K Views
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa...
1 Reactions
99 Replies
10K Views
Bila shaka mishe zinaendelea vizuri wadau wa MMU. Nimeona nilete suala langu hapa maana naamini kuna watu wenye experience tofauti tofauti kuhsu masuala ya mahusiano. Mwenzenu nlikutana na...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Hbr wanajf wenzangu. Waraka huu hapa chini unauonaje? Toa maoni yako tafadhari
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwa wajuzi wa kiswahili leo nataka niongelee misimu.. Misimu ni maneno ambayo huzuka miongoni mwa kundi fulani katika jamii na hueleweka tu miongoni mwa watu katika kundi hilo. Misimu hukua na...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kutokana na uhalisia ninaouona wanawake wako motive zaidi kuendesha na kumiliki magari kuliko pikipiki. Hivi hii inatokana na nini?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Umri wa ndoa:12 'Yaani nakumisi sana. Vitu unavyonipa kwangu sivipati. Napenda unavyonifanya. Yaaani wewe mtoto, utundu huo nani alikufundisha? Nakupenda sana tena sanaaaaa" Ushauri...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kabila langu ni mhaya.elimu chuo kikuu,ninafanya kazi na kuishi zanzibar ,Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke mwenza,awe na sifa zifuatazo; 1.Awe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na...
2 Reactions
167 Replies
21K Views
Back
Top Bottom