Prezzo aitwa Kibamia na Marioooo baada ya Kumuacha Mpenzi wake

Prezzo aitwa Kibamia na Marioooo baada ya Kumuacha Mpenzi wake

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
852
Reaction score
1,507
Baada ya mapenzi ya Prezzo na demu wake wa kitanzania Starlisha Tillya kuisha,

Prezzo kwanza alianza jana kwa kuweka picha za Goldie kusema ana mmiss

alafu akaweka ya Halle Berry na kumsifia uzuri wake na matiti yake(chuchu saa sita...)

Ndo hapo sasa yule aliyekuwa demu wake alipocharuka huko instagram

alihisi prezzo anamsema yeye matiti yake sio mazuri basi na yeye akaweka picha ya mwanaume yupo uchii wa unyama na kibamia

Na kama hiyo haitoshi akaeka caption zingine za mawasiliano yao prezzo akimuomba anunuliwe ticket ya ndege na Giussepe sneakers.

Picha hizo hapo chini
 

Attachments

  • 1390221174669.jpg
    1390221174669.jpg
    109.8 KB · Views: 2,399
  • 1390221196165.jpg
    1390221196165.jpg
    21.9 KB · Views: 2,049
Yale yale Baadhi ya Dada zetu wa Kitanzania wanazidi kuchezewa na prezoo haya ngoja tusubili anaefuata baada ya wawili kupita......ila hii itakuwa ni furaha kwa yule Mtagazaji sijui anaitwa nani vile.....!!

Yani wanajishushia hadhi zao sanaaaaa, can you imagine prezoo baada ya kuhojiwa leo kuhusu hii inshu amejibu hivi and i will quote him,

"Every Action has a reaction.And as far as i ma concerned,that contract has expired.On to the next one"
 
halafu unaweza kuwa unalalamika kibamia kumbe wewe mwenyewe ndio shida kiatu chako ni kikubwa

kiatu cha mtu mzima utake kumvalisha mtoto wa miaka 8 kitaenea kweli!!!!!!!!

hapo umeongea kwa herufi kubwa kabisa "loud n clear"
 
Back
Top Bottom