Upole!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upole!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, May 9, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa faida ya kina kaka embu wadada tujuzane mnapenda wapenzi/wenzi wenu waweje linapokuja swala la upole.Hapa siongelei ule upole wa muda kwamba ikitokea ugomvi mara moja moja anaweza kujishusha ...naongelea ule upole ambao ndio tabia yake.Yani kila kitu ye anakua mdogo tu....hata kama kosa sio lake anakua mdogo...hata kama anaonewa anakua mdogo!!

  Binafsi mi naogopa kua na mtu wa aina hii kwenye mahusiano kwasababu najijua ni mkorofi kidogo kwahiyo naona kama ntamuonea sana.Iwe kwa makusudi au la najua mwisho wa siku ntaishia kujisikia vibaya na ntakua nimeshamuonea tayari!!Napenda mtu ambae nikikosea atanipa live na sio kwakunibembeleza maana wakati mwingine mtu akikwambia kitu kwa utaratibu ni rahisi kupotezea ila ukiona kakasirika kweli usikilizaji na uelewaji unaongezeka!!

  Michango tafadhali......
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ngoja kwanza will be back
   
 3. T

  TAITUZA Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe wewe ni mkurya eeeh?
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hahahahha....kisa?????
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nakusubiria......
   
 6. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  ok, afadhali umejitambua kwa hilo,
  hata hivyo kwa jinsi ulivyo ni vema ukapata mpole!!!!!!!!!!!!!
   
 7. T

  TAITUZA Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UNAJUA NYIE MABINTI MNA MAtatizo sana, mwanamke ukimpenda kupita kiasi na ukiwa mpole sana kwake anakuita *****,zobalangu n.k.na anaweza kukuletea bwana mwingine hivihiviiiiiiiii. ukiwa mkali kila cku unampa kichapo anapokosea,mnasema mnanyanyaswa, ukiwa haueleweki wakati mwingine unakuwa mkali sana wakati mwingine mpole, utasikia oooh, hili bwana langu hata silielewi, sijui lLINANIPENDA KWELI? WALA HALIELEWEKI, MIM "I PREFER TO BE UNPREDICTABLE"
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  afazali leo umetuongelea wanaume wapole, yaani tunanyanyaswa kweli aisee.
   
 9. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Kumbe ni kina dada tu ndo wanaruhusiwa kuchangia hii thread......
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kujitambua ni muhimu....that way unajua kabisa nini kinakufaa na nini hakikufai!!
  Mhhh mpole atanifaa vipi wakati sitaki kumtoa machozi mtoto wa watu????
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha Lizzy haya banaa ngoja nirudi
   
 12. T

  TAITUZA Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapenda wakali lizzy, tena wa kukupigapiga kwa marungu hata kwa vijikosa vidogo jamani? Au nimekosea bibie?
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Mpole wa namna hiyo hapana, atakuwa hajiamini mwoga
  maana hata kutoa ushauri itakuwa vigumu
  mtakuwa mnashauriana vipi kama kila kitu ndio
  upole uwe wa kawaida, mcheshi

   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Kila kitu kiwe na kiasi!!Mambo ya kukatana ngwara kwenye mahusiano sio vizuri kabisaaaaa!!Na huyo anaetumia upole wako kukuletea mwanaume ndani kama ungekua mkali asingekuletea ndani ila bado angekuzunguka tu!!!
   
 15. T

  TAITUZA Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo mana nasema lizzy wewe ni mkurya tu. Usikatae bana .
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahhahah....Kloro ngoja nikutafutie kabinti kapole muendane!!!
  Sitaki kusikia unanyanyasika!!!
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Upole asilia hauji kwa kuamua kichwani bali anakuwa nao mtu tangu anakua.
  Wewe hata sasa huwezi tena kuwa mpole.
  Binafsi sijazoea kufokea mtu, kumkasirikia mtu au kumpiga, especially kama nimfanyie haya mke (nikija kuoa). Why???

  Nilivyokuwa nakua (nilivyokuwa primary school 1987 - 1993) nimepitia yote hayo.
  So najua uchungu wake na jinsi mtu unavyokosa amani.
  Najiuliza siku zote, hivi hakuna njia nyingine ya kumfundisha mtu na kumuelimisha kwamba hiki na kile hakitakiwi zaidi ya kumkaripia, kumpiga, kumfokea n.k???
   
 18. T

  TAITUZA Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lizzy umeolewa? Tuambie.
   
 19. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi naomba tu nikusalimua dawa ya Malaria.....habari yako mkuu?
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Blaki Womani,

  Nimeongeza size ya fonts kwenye post yako niweze kukusoma vizuri!
   
Loading...