Kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake.
Leo nimefungua facebook nikakutana na message ya mwanaume nisiyemfahamu ananiomba urafiki wa facebook...
Ni jambo lisilo pingika kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu hasa inapo kuwa hivi;
1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda
2 Ukiwa unadekezwa dekezwa...
"Nitakupa kila kitu mpenz maana nakupenda sana". ni kauli kutoka kwa wanawake wengi hasa wakati wa kupeana utamu.
Mi huwa sielewi wanamaana gani. Je inamaana anataka akupe vyote Zantel na tiGo...
Kuna jamaa hapa SAUT, alikuwa anaishi na demu (Mwanachuo mwenzake) bila wazazi wao kujua (Ndoa za chuoni).
Sasa demu akapata ujauzito akajifungua mtoto wa kiume tarehe 25 march, baada ya hapo...
Habari zenu wanajamvi,
Wewe ni kijana wa kiume na umekua kwenye mahusiano na mpenzi wako katika kipindi kisichopungua miaka miwili.
Umekua ukiaminiana na mpenzi wako kwa kipindi chote cha...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye...
Sijui aliyesema uzuri wa mwanamke ni tabia alikuwa ni kipofu?
Maana kila mwanamke akipita watu wanatupia jicho kule kwa Sheikh Hilarry Kipozeo.
Hatari sana
Habari ya asubuh wanaJF,
Natumaini mmeamka salama na tayari kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake kulijenga taifa letu.
Wagonjwa poleni sana, nawaombea kwa Mungu mpone haraka. Pia zingatieni...
Wapendwa samahani sana kwa usumbufu,
Nina kitu ambacho kwa kweli kinaniumiza moyo wangu sana, sisi kwetu tumezaliwa wawili na wote ni wasichana, dada yangu ni mkubwa kwangu kwa miaka saba...
Mi ningependa anywe drinks za ki-sister du. Like redds, savana and the like.... wewe ungependa atumie drink ipi? konyagi? soda? bavaria? baltika? safari? or?
Habari wana jf?
Nina mchumba wangu kwa takribani,miezi kumi na tano sasa.
Wote tumeajiriwa katika wizara flani nchini.
Yeye kwao Iringa na mimi kwetu Songea,kipindi chote cha mahusiano yetu...
habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa...
Kama wewe ni mume,uko kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka mitano,hujawahi kusafiri kwenda mbali kwa muda mrefu kwa kipindi chote cha ndoa yenu.Ikatokea kipindi fulani ukasafiri ama kwenda masomoni au...
Kwa kweli nashindwa nimuelezeaje.
Ni maji ya kunde sio mrefu wala mfupi yuko kati hivi.
Nilikutana naye kwenye kivuko cha kigamboni jana.
Binti habari yako? Nzuri kaka, nikamuuliza kama...
6 GOLDEN RULES FOR LADIES!!!
1. Dont take off your panties, because he called you beautiful, take them off because he married you.
2. Dont open your legs because he said you will make a...
Nimelikubali sana jukwaa ili la MMU, bila hiyana,kwa akili na akuli zangu bila kushurutishwa na mtu nikaona njimuvuzishe mjengoni...!
Nikaribisheni wajameni.
Jamani naomba kujua,kasongo seveni ndio nini? Maana nasikia vijana wa hapa mtaani kwetu wanaiongelea ongelea hasa kwenye mambo ya mapenzi ila sijawahi kujua maana yake ni nini na inaongeza nini...
Rai yangu kwenu wanaume wenzangu...
Waheshimuni sana WANAWAKE.
Nimegundua kwamba kumdharau mwanamke yoyote yule ni sawa na kumdharau mama yako mzazi kwasababu mama yako nae alikua binti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.