Hili ni tatizo la kisaikolojia ama?

Hili ni tatizo la kisaikolojia ama?

damuu250

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Mimi ni binti wa miaka 25,

Nilianza mapenzi miaka kadhaa iliyopita na kaka mmoja ambae tulikuwa na tofauti ya miaka saba.

Uyo kaka nilimpenda sana kuliko neno sana lenyewe lilivyo, na sikuwahi kuwaza mwanaume yoyote zaid yake.

Kwa kufupisha stor, aftr seven yrs ya mahusiano nikiwa nimemaliza chuo bf alitafutiwa mchumba kwao (ni kama tamaduni zao kutafutiwa mwanamkr ambae familia inamjua na awe wa asili yao-mwarabu/mchanganyiko wa kiasia) .

Niliumia sana kwa sababu kwanza boyfriend hakuonyesha msimamo wowote ni kama alikuwa anajua nini kitakuja kutokea mbeleni. Nikaamua niachane nae japo nilikuwa kama chizi kwa muda.

Tatizo sasa nashindwa kumuamini mwanaume yoyote, sina imani na mapenzi ya kweli tena.

Na tangu niachane na x wangu nimeshadate na wanaume wawili na wote najikuta tu nastopisha mahusiano bila sababu maalumu.

Watu wangu wakaribu wananiambia nna matatizo ya kisaikolojia kutoka na situation iliyotokea kwenye mahusiano yaliyopita.

Wanajamvi especial wanawake wenzangu mshaexperience hii situation?

Kama kweli ni tatizo la kisaikolojia naombeni msaada wenu kimawazo niwe sawa, sio kwamba sipendi kuwa katika mahusiano ya tena ila nakosa imani kabsaaaa mwanaume nahisi kusalitiwa tuuuuu mwisho wa siku naamua kumpotezea.

N.B: SITAFUTI BF HUMU JAMVINI, NIMESHARE TU TATIZO LANGU(nimejisikia confortable kushare na watu ambao hawanijui siwajui ) NA KUPATA MAWAZO YENU NA USHAURI.

Shukran!
 
Tulia, atakuja tu atakayeweza kukuaminisha kwenye mapenzi tena. Trust your instincts, kama unastopisha mahusiano, jua kuna sababu, hata kama haijakaa clear.

Tatizo baadhi wanafanya maapenzi kama daladala 'anashuka mtu, anapanda mtu'. Ukiumia kwenye mapenzi, pumzika hadi upone, halafu anza kusaka furaha tena.

Kwa sasa, nakushauri uachane na mapenzi kwa muda kwanza. Tumia mda huu kujiongezea ufanisi wako binafsi, kama mwanafunzi, soma sana, kama ni mfanyakazi, piga kazi sana. Jitafutie maendeleo yako, itakukeep busy na sane.

Hujaathirika chochote, ni kuwa tu unauulazimisha moyo.
 
Asante sana kongosho,nitaufanyia kaz ushauri wako
 
Ni kweli mapenzi yanaumiza hasa ukitendwa,jambo la msingi tulia na kubali kilichotokea yaani 'KUACHWA'.wewe si wa kwanza katika hili.jambo la muhimu chukua muda kabla hujaiingiza katika mahusiano mapya.
Unaweza ukatendwa na huyu lakin ukampata mwingine mwenye mapenzi kuliko alokutenda,jipe moyo,vuta subira nina iman maumivu ulonayo yatapona na utasimama tena kama binti mkomavu.
 
Mimi ni binti wa miaka 25, nilianza mapenzi miaka kadhaa iliyopita na kaka mmoja ambae tulikuwa na tofaut ya miaka saba.
Uyo kaka nilimpenda sana kuliko neno sana lenyewe lilivyo, na sikuwahi kuwaza mwanaume yoyote zaid yake.
Kwa kufupisha stor, aftr seven yrs ya mahusiano nikiwa nimemaliza chuo bf alitafutiwa mchumba kwao (ni kama tamaduni zao kutafutiwa mwanamkr ambae familia inamjua na awe wa asili yao-mwarabu/mchanganyiko wa kiasia) .
Niliumia sana kwa sababu kwanza boyfriend hakuonyesha msimamo wowote ni kama alikuwa anajua nini kitakuja kutokea mbeleni. Nikaamua niachane nae japo nilikuwa kama chizi kwa muda.
Tatizo sasa nashindwa kumuamini mwanaume yoyote, sina imani na mapenzi ya kweli tena. Na tangu niachane na x wangu nimeshadate na wanaume wawili na wote najikuta tu nastopisha mahusiano bila sababu maalumu. Watu wangu wakaribu wananiambia nna matatizo ya kisaikolojia kutoka na situation iliyotokea kwenye mahusiano yaliyopita.

Wanajamvi especial wanawake wenzangu mshaexperience hii situation? Kama kweli ni tatizo la kisaikolojia naombeni msaada wenu kimawazo niwe sawa, sio kwamba sipendi kuwa katika mahusiano ya tena ila nakosa imani kabsaaaa mwanaume nahisi kusalitiwa tuuuuu mwisho wa siku naamua kumpotezea.

N.B: SITAFUTI BF HUMU JAMVINI, NIMESHARE TU TATIZO LANGU(nimejisikia confortable kushare na watu ambao hawanijui siwajui ) NA KUPATA MAWAZO YENU NA USHAURI.

Shukran!

Pole kipenzi. Ndio hivyohivuo inakuaga. Na wengine inachukua muda zaidi. Mimi pia ilishanikunba jambo hilo. Ndio kupenda kwenyewe huko. Kazi kweli! God will take you through this if you believe
 
Kumbe ni pande zote mbili. damuu250 binafsi nilishawahi kupitia hali hiyo huyo mwanamke nilipenda sana kama ulivosema hapo juu zaidi ya neno sana lilivyo. Ila yakatokea hayo, akaolewa dah sikua chizi ila hali niliokua nayo hailezeki. Tulia na utasahau tu, pamoja na yaliyonikuta bado nawapenda wanawake na wala siwachukii. Tulia na ukipata muda ufanye tahajud
 
Last edited by a moderator:
Ow my 7 years is such a long tym..poleh sweet...kubali yashatokea,sio kosa lako,forgive him,forgive urself,kuachwa imeshatukuta wengi,inaumiza sana,but inabidi ujipe moyo,endelea kufanya yale unayopenda in life,and ipo siku utapenda tena,japo kwa shida,but u will surely have better days and EVEN BETTER MEN than ur X....
 
Ni kweli mapenzi yanaumiza hasa ukitendwa,jambo la msingi tulia na kubali kilichotokea yaani 'KUACHWA'.wewe si wa kwanza katika hili.jambo la muhimu chukua muda kabla hujaiingiza katika mahusiano mapya.i
Unaweza ukatendwa na huyu lakin ukampata mwingine mwenye mapenzi kuliko alokutenda,jipe moyo,vuta subira nina iman maumivu ulonayo yatapona na utasimama tena kama binti mkomavu.

Ameen! Asante kwa kunipa moyo na ushauri
 
Pole kipenzi. Ndio hivyohivuo inakuaga. Na wengine inachukua muda zaidi. Mimi pia ilishanikunba jambo hilo. Ndio kupenda kwenyewe huko. Kazi kweli! God will take you through this if you believe

Asante grace, kweli aya mapenzi yanarun dunia
 
Ow my 7 years is such a long tym..poleh sweet...kubali yashatokea,sio kosa lako,forgive him,forgive urself,kuachwa imeshatukuta wengi,inaumiza sana,but inabidi ujipe moyo,endelea kufanya yale unayopenda in life,and ipo siku utapenda tena,japo kwa shida,but u will surely have better days and EVEN BETTER MEN than ur X....

Seven good years my dear
Ameen
 
Kumbe ni pande zote mbili. damuu250 binafsi nilishawahi kupitia hali hiyo huyo mwanamke nilipenda sana kama ulivosema hapo juu zaidi ya neno sana lilivyo. Ila yakatokea hayo, akaolewa dah sikua chizi ila hali niliokua nayo hailezeki. Tulia na utasahau tu, pamoja na yaliyonikuta bado nawapenda wanawake na wala siwachukii. Tulia na ukipata muda ufanye tahajud

Shukran utafit, inshaallah kheir. Hii hutokea kwa pande zote, nilichojifunza hapa wakat mwingine mtu anapoingia kwenye mahusiano pia ni muhimu kujua mila na desturi za wapenzi wao
 
Last edited by a moderator:
pole sana. wala sio tatzo. wanaume sio viumbe vya kuaminika, cha msingi epuka kuishi kwa wasiwasi.
 
Pole sana aisee hapo hakuna uwezekano wa kurudiana nae coz ameshaoa. kilichobaki binti ni kukubaliana na hali hiyo.

Utampata tu wako na mtapendana vizur tu. kuwa na mahusiano na mtu kwa muda mrefu haimaanishi utakuwa nae milele coz kuna kutengana, kupotezana, kuna kifo.

hzo ni changamoto cha msing ni kusonga mbele hakika utamsahau na mambo yataenda fresh furaha yako itarud.
 
Mimi hua nashangaa,mabinti wengi wanapenda kushobokea wanaume wa kiarabu.Ni ngum sana Mwarabu au Muhindi kumuoa binti mweusi mwenye asili ya Tanzania (Afrika).Wanaishia tu kuwatumia ila wao huoana wao Kwa wao.Pole dada muone mwanasaikolojia atakusaidia la sivo utagawa Kwa kila rika maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom