Ni nadra sana kwa hawa masistadu

Ni nadra sana kwa hawa masistadu

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa najaribu kujiuliza!

Je, utakula nywele? Au maisha yako yote yataishia kwenye nywele?

Hebu sasa wadada fikeni mahali muwe na fikra endelevu.

Ni hayo tu.
 
Atakapopendeza na kuvutia chati itapanda zaidi sasa unafikiri wakware watamtamani vipi bila ya kuonekana wa kisasa zaidi
 
Mwanamke/wadada Wa kijijini sawa anaweza akafikiria vinginevyo lakini wa mjini piga ua saluni ni kama nyumbani kwao
 
Wengi wao hawaifikirii kesho.. Wanaihofia kesho.
Wengi wao hata ukute wewe ungalizaliwa hivyo, chnaces ungekuwa kwenye receiving end.
Wachache wao wanakuomba laki ya shopping/kusukia , anaenda kusukia apo 15,000 hizo nyingine ni mtaji wake wa kitu akijuaye yeye na hutaka ujue.
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa najaribu kujiuliza!

Je, utakula nywele? Au maisha yako yote yataishia kwenye nywele?

Hebu sasa wadada fikeni mahali muwe na fikra endelevu.

Ni hayo tu.
 
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa najaribu kujiuliza!

Je, utakula nywele? Au maisha yako yote yataishia kwenye nywele?

Hebu sasa wadada fikeni mahali muwe na fikra endelevu.

Ni hayo tu.

shida ni kwamba mnatongoza kwa gia kubwa mno...! halafu unakula kimoko tu lakini maandalizi yake kuanzia vyakula uivywaji mpaka gesti hausi unatumia laki na ushee...! lazima hata kirungu kitakuwa cha haja
 
Atakapopendeza na kuvutia chati itapanda zaidi sasa unafikiri wakware watamtamani vipi bila ya kuonekana wa kisasa zaidi

HARUFU mi nakulaga low profile, kuku wa kienyeji uwekezaji kidogo utamu lundo...!
 
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa najaribu kujiuliza!

Je, utakula nywele? Au maisha yako yote yataishia kwenye nywele?

Hebu sasa wadada fikeni mahali muwe na fikra endelevu.

Ni hayo tu.

Anakuangali jinsi ulivyo haombi tu. Wewe anakuomba hela ya saloon ashakuthaminisha wenzio anawaomba wamfungulie duka.....HAWEZI KUOMBA JAMVI KWENYE MATANGA!!!!!
 
Kizazi cha wamama wajasirianali kinapotea
 
ushaambiwa mjini msingi kiuno!! hizo chapati zakwako!!!
 
Wewe unataka afanye biashara akuache njia panda,acha akuchune nawe unamtumia mpka anyongoroke.
Mfumo wangu nilioweka nichune sana na mimi ntakutumia sana.
 
hawaombi hela ya mtaji kwa7bu wanajua wanaume ni mtaji tosha..
Kuna mmoja nilitembea nae, nkaona nimsaidie ila kwa style ya MWANZO MGUMU, nkaenda nae kijiji fulani mkoani nkamnunulia kuku wa kienyeji kama wa laki tatu..nilikua na usafiri hivyo tuliwabeba kiulaini. Nkamrudisha Dsm yeye na kuku wake, nkamwambie auze then arudi kule anunue tena iwe biashara yake. Hahaa, bint alinifurahisha, wale kuku sijui aliwafanyaje, sikumwona tena, na bado anasota mtaani tu. Shule kaishi form 4 ya div.5.
 
Back
Top Bottom