Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wapendwa Ni siku nyingine tena ya wana mmu kuwepo ndani ya jukwaa letu pendwa kupeana habari mbalimbali zinazotuelimisha na kutuburudisha. Leo ninalo hili wana MMU,ni hili suala la...
11 Reactions
141 Replies
10K Views
Habari wana MMU? Nilikua nina mpenzi wangu tuliependana sana kwa muda wa kama miaka miwili hivi. tumepitia migogoro kadhaa katika kujaribu kumshawishi awe vile nipendavyo naye kunifanya niwe...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
... Hola amigos, wacha tu !!!! Pande hii ni wavumilivu , wachapa kazi , wanajuwa malezi ya watoto ni majembe kweli kweli katika familia na jamii Hasta pronto...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, asalam aleikum Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Meet the woman of my dream,the woman behind my succes today,i am proud of her,she made me know how to talk,eat,birth,study,run doing everything oooh my late mother Apolonia Silayyo i love u!
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanini pale panapotokea Wawili waliopendana Mwanamke na mwanaume ambao wanaimani tofauti (Christian & Muslim) wazazi wanakuwa wanaingilia katika suala la kupinga wawili hawa kuwa kitu kimoja? Je...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Ladies, jielewe ,jifahamu na pia jitambue then chukua hatua...here we go... 1.HAPIGI SIMU, BALI HUTUMIA SMS Anawasiliana Nawe Kwa Njia Ya Ujumbe Mfupi Kuliko kupiga simu tena wewe ndio...
5 Reactions
96 Replies
17K Views
Habari zenu wapendwa,........? Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili, hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway! Back to the topic,.......... Hivi dada zangu huwa...
0 Reactions
266 Replies
48K Views
karibuni tushow love kwa watu 5! 1.mama yng halima 2.baba yng hanaf (RIP) 3.Wadogo zng wote 4.wana jf wote 5.wanahabari
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hizi ndio faida 5 za mwanamke kutoja nje ya ndoa(1)Atakua mbunifu kwenye mambo yetu yale(2)Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga wewe(3)Gharama za matumizi kama saluni zitapungua(4)Mkeo hatakua na...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mwanaume anaposema hivyo anamaanisha nini?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Napenda kufahamishwa ni mambo gani ya kuvumilia katika ndoa na yapi sio ya kuvumilia?(Yaani yapi yakitokea ndoa ife? na yapi ya kusamehe) Unawezaje kumsamehe na kuendelea kuishi na mwanaume...
2 Reactions
94 Replies
13K Views
Kama nilivyoainisha kwenye uzi wangu niliouleta hapa jukwaani siku kadhaa zilizopita nikisisitiza tuwaheshimu sana wanawake kwa ujumla wao ukizingatia kwamba wao ndio chimbuko letu hapa duniani...
6 Reactions
130 Replies
10K Views
Money is never enough, I am sure that is no news to you. Even if your monthly income tripled, I can assure you that you will still have more needs and wants than your money can afford. It is more...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar wa MMU.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani. Alichomwa na kitu mguuni wiki 5 zilizopita ikaota...
1 Reactions
111 Replies
10K Views
Almighty God, hear this prayer." Dear Lord, I offer you this prayer, to help me with my current relationship situation. Please take away all the pain and hurt in my heart. Fill it with love...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kale kapenzi katamu ulichonipa toka moyoni, na ile michezo mitamu sasa ivi shubiri chungu mdomoni. Macho yangu yezoea kuona tabasamu lako. Come to me baby.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi...
8 Reactions
103 Replies
33K Views
Marafiki, upendo wa dhati ndilo jambo la kheri baina yetu na wengineo. Hivi inakuwaje mpaka mtu wa tabaka la juu anamchukia na kumtolea maneno makali au hata yenye kukera mtu mwenye tabaka la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom