Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwa mtoto yeyote wa kike wa Kisukuma ani - Pm nina neno la kuongea naye kwa faragha.
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Ndoa ni katika hali ya raha na tabu. Shukuru kwa kile ulicho kipata. Ma exes wengi wako pale kwa kuleta migogoro katika ndoa zenu. Unatakiwa kumuonya kila ex wako kuacha mara moja kukupigia simu...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni mtazamo wangu tu lakini pia ndio ukweli wenyewe. Vazi la suti huwapendeza sana watu warefu,wanaume au wanawake kuliko watu wafupi na wenye vitambi. Mtu mrefu akiwa amevaa suti inampendeza...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
Never force children to Pray. At dinner, a little boy was ordered to lead in prayer...BOY: But i don't know how to prayDAD: Just pray for your family members, friends and neighbors, the poor...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Hebu fikiria...ni wewe kidume uliyemtoa bikira. Kiwango chake cha 'kuperfom' unakijua... mara ghafla kaja na 'styles' mpya....utamuelewa? Tuseme alikuwa hajui kitu..na kupitia masimulizi kajua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na wapenzi kukaba mpaka penalti kitabu kimezinduliwa ili kujihakikishia ushindi Team Michepuko
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Mimi naishi moshi na nahitaji misichana/mwanamke atakayekuwa rafiki yangu Sifa napendelea awe na Umri kuanzia miaka 30 kwani Umri wangu ni zaidi ya hapo awe anajishulisha (muajiriwa au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1.Una mwambia msichana kuwa nakupenda na kama hataki badala akijibu kistaarabu anaishia kukuaibisha vibaya mno na kukutupia maneno ya kejeli kibao. 2.Una muuliza vizuri kabisa mdada Unaboy...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ila siyo siri jaman ukibahatika kuwa na mume traffic au mke traffic una kaz kubwa kuwajibika unahitaji umbembeleze, mliwaze, mtunze bila kuchoka ile kazi ngumu sana jamani kugombana na madereva wa...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Food,clothes,shelter and SEX. ukikosa moja kati ya haya unaweza ukaathira kiakili na kimwili.. waliongezea SEX as a basic need hawakukosea yani kukosa hii kitu ni hatari sana kwa afya ya mwili...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Na pengine kuwapenda kabisa. Muwe mnachaguwa majibu na kuyapima athari zake kwa mtongozaji. Leo nimepewa za uso na ki ukweli naumia mpaka muda huu. Nilimwambia mdada dhamira yangu kuwa mimi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
wakuu mwenza wangu akiwa amegusa kilevi panakuwa hapatoshi kwenye mechi more than akiwa normal kwa maana anaperfom good zaidi je sasabu ni zipi? je haya yameshakukuta?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenzenu kuna kaka nilikutana naye ndani ya basi Arusha to Dar tulikaa siti moja basi tukaanza kuongea ongea mpk tukajikuta tunabadilisha namba za simu mpk mwisho wa safar kila alienjoy safari...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenye, je mzigo wako ni mkubwa kiasi gani? Tujifunze kusamehe, unaposamehe unapunguza mizigo. Hata wengi wanaumwa magonjwa ya moyo, BP, na Vidonda vya tumbo...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Tuko kwaajili ya kuelimishana mawazo ya wengi ni mazuri Mimi hili jambo lanitatiza hasaa. Hivi huyu boss kusema PS wake anamtega na baadhi ya watu kucomment amfukuze, wengine amwambie, mwengine...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenyu wana MMU, nikiwa ndio natoka kujirusha mambo ya TGF, sorry kama ntakosea some sp na grammar unajua tena ukishapata maji ya rangi ya mende kizungu kinapanda tuuu! Anyway story iko...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Nawasalimu ndugu zangu wa MMU, Ikiwa ni mara yangu ya kwanza kupost hoja katika MMU nimekuja na utafiti nilioufanya kwa muda mfupi sana katika mahusiano ya kimapenzi hasa vyuoni nikabaini kuwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
natumai tupo salama wa salimini. wana MMU sote tumezoea kusikia malalamiko juu ya matatizo ya baadhi wanaume juu ya upungufu wa nguvu za kiume, inawezekana kabisa hata watafiti wa tiba hiyo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom