Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
wakuu mwenza wangu akiwa amegusa kilevi panakuwa hapatoshi kwenye mechi more than akiwa normal kwa maana anaperfom good zaidi je sasabu ni zipi? je haya yameshakukuta?
Inaonekana Hayupo free na wewe akiwa na akili zake, aidha anakuonea aibu au ana pretend kutofahamu mambo wakati amekubuhu. Kwa Hiyo inapotokea amekunywa pombe huongozwa na pombe ambayo humweka katika uhalisia wake na hivyo kujikuta kufanya vitu kwa uhalisia wake, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na hofu, uoga, unyoronyoro na zaidi huenda pombe anayokunywa humwongezea mihemko na bashasha za kungonoka yaani Nyege!wakuu mwenza wangu akiwa amegusa kilevi panakuwa hapatoshi kwenye mechi more than akiwa normal kwa maana anaperfom good zaidi je sasabu ni zipi? je haya yameshakukuta?
bila shaka unatania!!wakati ukiwa unafurahia utam wa gem mwenza anapokuwa amelewa,
tegemea kuzaa watoto wenye afya migogoro na hata upungufu wa baadhi ya IQ na EQ.
kikawaida mwanaume akiwa amelewa huzaa mtoto wa kike, imagine uzae watoto wa kike wenye akili zisizo kamili.
wakati ukiwa unafurahia utam wa gem mwenza anapokuwa amelewa,
tegemea kuzaa watoto wenye afya migogoro na hata upungufu wa baadhi ya IQ na EQ.
kikawaida mwanaume akiwa amelewa huzaa mtoto wa kike, imagine uzae watoto wa kike wenye akili zisizo kamili.
Mwanaume!
Mimi nilifikiri mwanamke kwani kwa asilimia kubwa wao ndiyo wanaolalamika kuwa hatuwapigi kisawasawa.
Isijekuwa ni Wacameroon hawa..na ndio maana kaishia tu kutumia "mwenza wangu" bila kudadafua.