cathy14
Member
- Apr 11, 2014
- 37
- 23
Ila siyo siri jaman ukibahatika kuwa na mume traffic au mke traffic una kaz kubwa kuwajibika unahitaji umbembeleze, mliwaze, mtunze bila kuchoka ile kazi ngumu sana jamani kugombana na madereva wa kila aina, kuruhusu magar ukipendelea baadhi ya upande wananchi wasivyokuwa wavumilivu misonyo na matusi juu! Akirudi nyumban hoi ndo ukute nyumban nako majanga basi tabu tupu ndo maana hawanenepi