Je una zigo kubwa kiasi gani?

Je una zigo kubwa kiasi gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenye, je mzigo wako ni mkubwa kiasi gani?

Tujifunze kusamehe, unaposamehe unapunguza mizigo.

Hata wengi wanaumwa magonjwa ya moyo, BP, na Vidonda vya tumbo wana mizigo mikubwa mno wamejitwisha, hawako tayari kusamehe na kusonga mbele. Tumuombe Mungu atujalie roho ya kusamehe na kusahau.
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenye, je mzigo wako ni mkubwa kiasi gani? Tujifunze kusamehe, unaposamehe unapunguza mizigo. Hata wengi wanaumwa magonjwa ya moyo, BP, na Vidonda vya tumbo wana mizigo mikubwa mno wamejitwisha, hawako tayari kusamehe na kusonga mbele. Tumuombe Mungu atujalie roho ya kusamehe na kusahau.

Aaamen kwaresma njema lakini maneno yako yaendane na matendo mema pia...!Barikiwa
 
Endelea kubeba mizigo shehe, tuone kama hujajinyonga.
Wanaojinyonga wengi wao wameelemewa na mizigo. Excel, anza leo kujifunza kusamehe. Msamaha ni tiba ya moyo, roho, akili na mwili pia.
Stay blessed

thanks kwa ushauri buji.

mi huwa nachukulia kila baya as a joke to me. hivyo mzigo nilionao ni mdogo.

kusamehe tutasamehe, lakini huwezi kubaki pure clean bila doa na mtu.

aisee kuna watu na viatu.....
 
Akina dada wenye MIZIGO mikubwa, ileteni kwetu sisi na Sheick wetu Kipozeo, tutaibeba.

Wengine sisi pia ni Wanyamwezi, Mzigo Mkubwa, mpe Mnyamwezi....

 
Last edited by a moderator:
hahaha,kwel moyo wangu umejawa maovu,..yan nilivosoma hii title nkawaza mengine kabsaa,..nkataka jib nna inch 6.5,...hahahaha,..dont try ths at hom
 
Kila kidonda huacha makovu. Makovu hayaumi

thanks kwa ushauri buji.

mi huwa nachukulia kila baya as a joke to me. hivyo mzigo nilionao ni mdogo.

kusamehe tutasamehe, lakini huwezi kubaki pure clean bila doa na mtu.

aisee kuna watu na viatu.....
 
hahaha,kwel moyo wangu umejawa maovu,..yan nilivosoma hii title nkawaza mengine kabsaa,..nkataka jib nna inch 6.5,...hahahaha,..dont try ths at hom

Dah si ndio hapo! mi nilijua kashatupia mipicha ya mijimama yenye masambwanda ya kutosha kumbe mahubiri ya nabii Joshua, ila thanx
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenye, je mzigo wako ni mkubwa kiasi gani? Tujifunze kusamehe, unaposamehe unapunguza mizigo. Hata wengi wanaumwa magonjwa ya moyo, BP, na Vidonda vya tumbo wana mizigo mikubwa mno wamejitwisha, hawako tayari kusamehe na kusonga mbele. Tumuombe Mungu atujalie roho ya kusamehe na kusahau.

Yaani umenigusa hadi nimeshindwa kucomment! Anyway, you said it very well; hata msamaha wa mungu huwahi zaidi kwa wenye kusamehe. Nakushukuru sana kwa somo zuri, ila sikuja na daftari niliogopa zitalowa so kama vipi nitafata notice baadae
 
Back
Top Bottom