Mtoto wa kisukuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa kisukuma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mpasuajipu, Mar 19, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa mtoto yeyote wa kike wa Kisukuma ani - Pm nina neno la kuongea naye kwa faragha.
   
 2. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mie msukuma lakini sio mtoto ni mzee.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unamtakia nini?Kama unamtafuta kwa uwazi to dukuduku lako kwa uwazi!
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mhhhhh kwani wana nini
   
 5. 2my

  2my JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo neno ungelimwaga hapa hadharani ingekuwa vizuri ila huko faragha mmmh!!!!!ila subiri wanaweza kuja
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nipm wewe, sitaki kukuanza.
   
 7. 2my

  2my JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  husninyo kumbe ww mtoto ya kisukuma!!
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Maelezo hayajitoshelezi,
  Msukuma wa mwanza au shinyanga,
  Bariadi, maswa, kahama au

  Geita, misungwi, ilemela au? Kuwa wazi bana watu tujitokeze
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nina makabila matano, huwa yanabadilika kutokana na mazingira.
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Thread za hivi huwa zinaudhi kweli mtu anaanzisha halafu anaingia mitini sijui anataka kuchora na kuwaenjoy tu watu sielewi kabisa
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Check hapa!

  A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  usikasirike umeme ulikatika sikuwa hewani. Nakukaribisha tena
   
 13. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Km ww ni msukuma jitokeze tu usijali ni wa wapi
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Elia umeua mazima kwaheri
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Pole sana umepata PM yangu?
   
 16. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mzee wa miaka mingapi?
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Shemeji hilo nalo neno!
   
 18. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Usiogope ww rusha tu utapokelewa vizuri
   
 19. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwani ww wa wapi?
   
 20. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ukituma takuambia lengo zima.Unajua kila sio jambo lazima uliweke wazi ww km unahisi unania ya kujua nina jambo gani basi fanya kulingana na maombi niliyoyaweka. Hii thread inasomwa na maelfu ya watu, na ombi limespecify kwa walengwa tu. Wengine hupenda utani tu, sasa km ww ni mlengwa na una dukuduku la kujua ninamwazo gani tuma km nilivyoelekeza. Nadhani sijakukwaza kwa hili.
   
Loading...