Njia kuu yako mchepuko wa mwenzio

Njia kuu yako mchepuko wa mwenzio

Samuel Doe

Senior Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
134
Reaction score
30
Nawasalimu ndugu zangu wa MMU,

Ikiwa ni mara yangu ya kwanza kupost hoja katika MMU nimekuja na utafiti nilioufanya kwa muda mfupi sana katika mahusiano ya kimapenzi hasa vyuoni nikabaini kuwa "NJIA KUU YAKO NDIO MCHEPUKO WA WENZAKO" kwa sababu wasichana na wavulana wengi wakishafika vyuoni huanzisha mahusiano mapya ya kimapenzi hata kama huko alikotoka tayari alikuwa ENGAGED au anae boyfriend au girlfriend wake na wanapendana sana lakini chuoni lazima atachepuka tu. na suala hili si vyuoni tu hata pia katika ndoa.

Naomba kuwasilisha kwa kauli mbiu kuwa "NJIA KUU YAKO NDO MCHEPUKO WA WENZAKO"
Nawatakia weekend njema ndugu zanguni.
 
huu msemo naona unaanza kupata kiki kweli.. njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzio! dah

tulio single mpaka sasa tutaona mengi sana mpaka kuja kuoa aisee.

weekend njema wakuu, natoa offer kwa mlimbwende mmoja wa MMU kudadeki, nichekini pm tukanywe jeshini! lolest..!
 
hahahah..ni kweli mkuu na ndio uhalisia huo

ila umenifurahisha sana uliposema kwenda kunywa bia jeshini

Kwanini wanachuo huwa wanalaumiwa sana wakati hadi bibi kizee ana mchepuko?
au hata yeye ni mwanachuo aaagggghhh
 
We excel yani offer kwenye bua za bure khu!
huu msemo naona unaanza kupata kiki kweli.. njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzio! dah

tulio single mpaka sasa tutaona mengi sana mpaka kuja kuoa aisee.

weekend njema wakuu, natoa offer kwa mlimbwende mmoja wa MMU kudadeki, nichekini pm tukanywe jeshini! lolest..!
 
hahahah..ni kweli mkuu na ndio uhalisia huo

ila umenifurahisha sana uliposema kwenda kunywa bia jeshini

hapo ndipo patam mkuu! jeshini tunakunywa kistaarabu sana! loles..

walevi wote kuwa wanakuwa walokole ghafla!.. fujo zinaachwa getini dadeki!
 
huu msemo naona unaanza kupata kiki kweli.. njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzio! dah

tulio single mpaka sasa tutaona mengi sana mpaka kuja kuoa aisee.

weekend njema wakuu, natoa offer kwa mlimbwende mmoja wa MMU kudadeki, nichekini pm tukanywe jeshini! lolest..!

hapo kwenye red, si ndo kule ambapo vinywaji havina ushuru...mabwaloni
 
teh teh teh...we acha tu yaani jeshini walevi wanakuwaga wapole kama wamemwagiwa maji vile...wanatiaga huruma sana

Back
Top Bottom