Tusi hili mwanaume yeyote hawezi vumilia

Tusi hili mwanaume yeyote hawezi vumilia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,910
Reaction score
870,894
1397281131790.jpg1397281131790.jpg
 
hiyo tungo inatufunza kuwa na mipaka katika kila jambo tunalofanya kwa mwanamke,

mwanaume bora ni yule mwenye maamuzi magumu kwenye masuala mepesi,

maamuzi mepesi kwenye masuala mgumu..

kiujumla mwanaume hatakiwi kueleweka msimamo wake kamili uliko, kitu chochote kitokee kokote!

hapo mwanamke atakuheshimu kwa sababu hatokuwa anakuelewa.....
 
Tusi hapo liko wapi? na ni ukweli kuwa kuna mijadume chungu nzima ambayo uwanamme umewashinda. Imebaki mijanadume si mijanadume mijanajike si mijanajike, huku kwetu inaitwa mishoga, mingine ya wazi, mingine haijajitokeza na hujificha nyuma ya migongo ya wanawake.
 
1397286202249.jpgkama huyu?
 
Ni tusi ila kuna watu wanakera. Kuna hata mwanamke anakuwa hovyo kiasi kwamba housegirl na m-outsmart!

Hayta hivto, ukweli unabaki pale pale kwamba mwanamume ambaye kafikia kiwango cha kuambiwa maneno hayo anafaa kurudishwa kwa mama yake ili aendelee kum-babysit!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom