Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wapendwa! Nina rafiki yangu anasumbuliwa sana na ndoto ya kuwa anafanya mapenzi na mtu aliyekuwa mume wake ili hali walishaachana tangu mwaka jana mwezi wa nane lakinia mpaka sasa anasema...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Wiki iliyopita nilikuwa naongea na mzungu fulani hivi katika maongezi yetu anadai eti wakina dada wa kibongo mnawashobokea sana mkiwaona na wengine wanawaomba wazungu hao wazae nao,je nikweli...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Aliniomba urafiki FB nikamkubalia tukaanza charting, akaniuliza why mkeo anakuchunga hivyo nikamjibu sijui kwa kweli, nikamwambia mi sina mchepuko bt sijui kwa nn haniamini, akanijibu mwizi...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimekuwa tangu utoto napenda sana wanaume weupe,wazungu,waindi,waarabu,lakini mwanaume awe handsame boy(HB):kiasi nilikuwa nasema nikikuwa mkubwa nitazaa nawanaume wote ilinipate kila langi,hapo...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Jipatie kitabu hiki kizuri hasa kwa wanandoa nikizuri kwa wale mnaopenda kuchepuka utapata mbinu mubadala.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa Am a girl 24 nmetokea kuwa na mahusiano na kijana mmoja ambaye tumefahamiana naw n kama 4 month,yeye ni accountancy wa benk so most of de tym ni yupo bize! Mwanzo wa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Ni kama nina mkosi au ni kwamba wanawake wote ni waongo au ni hawa ninaokutana nao tu? haya ndo maswali nayojiuliza saana: GF wangu wa kwanza:- nilikaa naye kwa muda wa miaka 3 nikajua ndo mke...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Hebu fikiria upo Kanisani, na pembeni yako kakaa Mpenzi wako wa zamani, mliyegombana na kuachana mda mrefu. Mchungaji akiwa anahubiri somo la upendo, ghafla anasema mtazame aliye pembeni yako...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku hizi kwenye mitandao kumesambaa video za ngono ambazo zinaonekana wazi kabisa mhusika mmoja hakujua kuwa anarekodiwa. Kuna baadhi ya watu wana tabia ya kupenda kurekodi video wakiwa wanafanya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mama wakwe wengi kutoka makabila mengi kama siyo yote hapa Tanzania wana tabia ya kuangalia watoto wachanga wanapozaliwa viungo vyake vya mwili kama kucha, vidole, miguu, mikono nk, Lakini huwa...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu Samahan kwa ntakao wakwaza na pole kwa ntakao waumiza. Hivi inakuaje mtu kwenye Whatsapp yako wewe ndo huwa unaweza profile pic ya mpenzi wako halafu yeye hata siku hajawahi...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari za JUMAPILi wana JAMVI wote??? Kwa wale watokao maeneo yaliyopata athari za mvua hizi poleni sana. Niwape pole wale watokao mabondeni. Kwa hali hii ya hewa hapa jijini,na kama kweli una...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips...
1 Reactions
220 Replies
70K Views
Inakuaje unaondoka nyumbani alafu unaacha buku, kwa mkeo eti ya matumizi alafu unarudi unakuta kapika wali nyama je utafanyaje ikiwa hela uliyo acha aitoshelezi?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU! Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa...
3 Reactions
112 Replies
15K Views
Najua siku kama hii waliowengi watapendezewa sana na hii hali ila kwangu ni maumivu.. Jana tulipanga kuonana kweli akaja...kumbe akapitia sokoni akafungasha nyanya,vitu vitu kibao kufika et ooh...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Miaka 10 ya ndoa yetu siku moja niliingia nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia chakula cha usiku. Nilimshika mkono na kumwambia: “Nina jambo ninalotaka kukueleza.” Alikaa na kunisikiliza kwa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom