M.M.U;Mapenzi ,Matalakiano na Uchumba.........

M.M.U;Mapenzi ,Matalakiano na Uchumba.........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari za JUMAPILi wana JAMVI wote???

Kwa wale watokao maeneo yaliyopata athari za mvua hizi poleni sana.

Niwape pole wale watokao mabondeni.

Kwa hali hii ya hewa hapa jijini,na kama kweli una mtu unamjali na kumpenda kwa dhati ni ngumu sana kuwa mbali kwa kipindi hiki kigumu cha umafinga mafinga.

Ni wazi hali hii itapelekea zile nguvu za uvutano kumtafuta mwenzi wako popote alipo na kumsogeza karibu na mkiendelea na ratiba zenu kama zinavyo waongoza.

Si wote watakao bahatika kufurahia hali hii ya hewa wengine kwao watakumbwa na matatizo ya kusahaulika kwenye ulimwengu huo na hapo ndipo matatizo yataibuka kila kona.

Tunategemea kipindi hiki cha umafinga mafinga wapo watakao furahia mahusiano,mapenzi yao(M),WAPO wale watakao kutana na hali ngumu ya kimahusiano na kupelekeana kutalakiana kwa sababu moja au nyingine(M),WAPO wale katika kipindi hiki kwao itakuwa ndio funguo pekee ya kuanza uchumba wao kwa upendo wa hali ya juu.(U)
Hapa ndipo M.M.U hukamilika kwa wahusika tofauti tofauti.

angalizo;

ukiona kipindi hiki mwenzi wako hakutafuti pasipo sababu za msingi ujue cheni bandia kwa hela bandia.
 
Ahsante mungu leo ni siku nyingine, ninakuja mbele zako baba Nina ombi lingine.....
 
Back
Top Bottom