Anaomba msaada juu yaNdoto za mapenzi:

Anaomba msaada juu yaNdoto za mapenzi:

dvedastuss

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
35
Reaction score
11
Habari wapendwa! Nina rafiki yangu anasumbuliwa sana na ndoto ya kuwa anafanya mapenzi na mtu aliyekuwa mume wake ili hali walishaachana tangu mwaka jana mwezi wa nane lakinia mpaka sasa anasema huwa anamjia ndotoni na kuhisi akishiriki naye je afanye nini ili ndoto iyo iache?
 
Back
Top Bottom