kulala na maiti je ungetokaje?!!!!

kulala na maiti je ungetokaje?!!!!

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
546
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu '?

:nimekataa:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
 
imaginary story,

hakuna hospitali hata moja duniani hapa inayoruhusu maiti kuchukuliwa kinyemela namna hiyo na kupelekwa nyumbani kwake.. otherwise huo uwe uchawi!

( jamani naomba niendelee kupiga mbizi ndani ya mafuriko ya jamngwani!!! dar es salaam sasa nayo itengewe bunge maalum la kuijadili jinsi ya kuipanga vyema katika sewage systems pamoja na house keeping!..)
 
Hamna kambale humo tuje tuvue, maana hii fursa naiona.
 
Hamna kambale humo tuje tuvue, maana hii fursa naiona.
mkuu hali ni mbaya, samaki wenyewe wamekimbia mafuriko!.. hapa naishia kuokoa feni tu na viti!

sasa sijui nikaishi barabarani jamani!

1505676_692831890780808_8145001540284171194_n.jpg
 
Vipo vile vibanda vya strabag tutakukuta asubuhi, pole lakini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom