Wana MMU hiki Kitabu hiki kinapatika bure!

Wana MMU hiki Kitabu hiki kinapatika bure!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Kitabu.jpg
Jipatie kitabu hiki kizuri hasa kwa wanandoa nikizuri kwa wale mnaopenda kuchepuka utapata mbinu mubadala.
 
hahahaha ngaseka baasi hahahah dunia ina raha jamani!!
 
Mkuu kakakiiza,

Naomba unijulishe kinapatikana vipi icho kitabu.
 
asieeeeeeee
matangazo yote yale ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu eeeeh
siku zote sikio la kufa-----------------
 
Mmh. Nimekuja mbio nikajua ni cha Pepo ya Mabwege by Harison Mwakyembe
 
Toba na madhara yooote bado michepuko

Na kinasie huko
 
Back
Top Bottom