Kama mimi sijui nifanyaje??

Kama mimi sijui nifanyaje??

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547

Hebu fikiria upo Kanisani, na pembeni yako kakaa Mpenzi wako wa zamani, mliyegombana na kuachana mda mrefu. Mchungaji akiwa anahubiri somo la upendo, ghafla anasema mtazame aliye pembeni yako kisha mpe mkono na mwambie "NAKUPENDA!!"
je,??
Utamwambia Au ndo bora lawama?
....




HEHEHE!!! TUPIA CHOCHOTE!!!!
 
Hv ni nani yule aliyesemaga Hapendi hayo mambo ya Kumgeukia Jirani...! nani viiiileeee...! ngoja utafiti anikumbushe, lakini hapo kumwambia ni noma... unaweza kuhisi mdomo unachanika
 
Last edited by a moderator:
huelewi hata context na content ya mazungumzo
 
Hv ni nani yule aliyesemaga Hapendi hayo mambo ya Kumgeukia Jirani...! nani viiiileeee...! ngoja utafiti anikumbushe, lakini hapo kumwambia ni noma... unaweza kuhisi mdomo unachanika

Muda mwingine umekaa na mwanaume pembeni mchungaji anaombea matatizo anasema
mgeukie jirani yako mwambie utapata mimba leo, mmmh......
 
Mdomo kuchanika tu
nazani utasiz kama dakika hiv

enjoy++

Hv ni nani yule aliyesemaga Hapendi hayo mambo ya Kumgeukia Jirani...! nani viiiileeee...! ngoja utafiti anikumbushe, lakini hapo kumwambia ni noma... unaweza kuhisi mdomo unachanika
 
Last edited by a moderator:
...Agape love doesn't ask!! Nitasema nampenda kiagape agape!!
 
Kwani huo ni ule upendo wa kuvuana nguo?
 
Ukisema nakupenda haimaanishi uwe unampenda kimapenzi…Unaweza kumpenda kama mwanaadamu mwenzio!Na isitoshe ni padre ndo ametoa amri hio umwambie uloketi jirani nae unampenda so akitafsiri kivingine kivyake!
 
Back
Top Bottom