Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,749
- 7,024
Aliniomba urafiki FB nikamkubalia tukaanza charting,
akaniuliza why mkeo anakuchunga hivyo nikamjibu sijui kwa kweli,
nikamwambia mi sina mchepuko bt sijui kwa nn haniamini,
akanijibu mwizi muda woye huhisi anaibiwa, nilipompeleleza hakunambia zaidi,
nimechanganyikiwa kwa kweli na sijui nifanyeje,
huyo dd anafanya kazi, na mrs wangu ndiye mkuu wake wa kazi,
ss sijui nifanyeje ili kupata ukweli.